The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
HahahaUnampigia mbuzi gitaa, anacheza sana, vumbi linatimka, unakosa hewa safi. Unakufa.
HahahaUnampigia mbuzi gitaa, anacheza sana, vumbi linatimka, unakosa hewa safi. Unakufa.

My banaUnachepuka, unakamatwa bae anakuacha na mchepuko unakuacha unapata sonona UNAKUFA
Unamwambia bae aweke mate uteleze kama nyoka pangoni, anaweka unateleza unakufa







Hahahaa aisee hizi pumba zenu nipumzisheni maana nacheka sana hadi nahofia naweza kufa![]()







Unaingia mortuary unaangusha shilingi wachagga wanafufuka unashtuka unakufa





















Nakuomba chura hutaki kunipa, unapita mtoni chura anakurukia anakung'ata chura UNAKUFAHutaki nikushike,unashikwa na homa UNAKUFA...
Unatype jF app ina stuck inatuma id yako, password na avatar kwa baba mkwe unashtuka unakufa.
Nakuomba chura hutaki kunipa, unapita mtoni chura anakurukia anakung'ata chura UNAKUFA
😂😂😂😂😂😂Nakuomba chura hutaki kunipa, unapita mtoni chura anakurukia anakung'ata chura UNAKUFA