Unakikumbuka kitabu hiki

Unakikumbuka kitabu hiki

omben

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2012
Posts
823
Reaction score
480
Tujikumbushe kwa wale walio soma miaka 1992 kurudi nyuma.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1360237849603.jpg
    uploadfromtaptalk1360237849603.jpg
    53.1 KB · Views: 438
Mkuu hicho ni kitabu au ni page iliyotoka kwenye kitabu cha Tujifunze Lugha Yetu (na sio Jogoo aliyesema)
 
Kitabu cha kiswahili ila nimesahau darasa,NIHURUMIE NA NAUMIA si ndo hiyo hadithi eeehhhh?
 
  • Thanks
Reactions: awp
mmh mi nakumbuka vile vya kina sadik na sikiri, shujaa hawafu,ndo nakumbuka kumbuka ila hicho sijui hata ni darasa la ngapi
 
siyo kama hakutaka, sasa nakupasulia,
matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia,
. . . . . . . . . . . . .
 
Msinikumbushe hadithi ya "Mbuzi anakula kitabu cha Damas", hii ndo stori niliyosoma na kujihakikishia kuwa najua kusoma. Sio leo ni 1981 najua karibia robo ya wanaJF walikuwa bado hawajatengana na baba zao kipindi hicho.
 
haaa!! we unasema kutengana na baba wakati wengine hata hatujazaliwa jamani? kwanza hata hatujafikiriwa?
 
i recall that picture lakini it was so far back hata mwaka siukumbuki. i barely knew how to read back in '92
 
Sikiri mimi masikini,
Uvivu wangu nyumbani,
ukiwa huu njiani,
Napatatabu ya nini.

Sadiki sasa ashiba,
Chakula kingi kwa baba,

endelezeni wazee wenzangu.
 
Kitabu cha kiswahili ila nimesahau darasa,NIHURUMIE NA NAUMIA si ndo hiyo hadithi eeehhhh?

Hahahaha imenikumbusha SIKU YA GULIO KATERERO, wakati huo nawafundisha wanafunzi wawili niliopangiwa na mwalimu wangu ambao tulikuwa nao darasa moja. Mmoja alifanikiwa kujua kusoma ila huyo ambaye hakufanikiwa kujua kusoma alikuwa balaa kwa kukariri hahaha. Kibanga ampiga mkoloni, sizitaki mbichi hizo, mjomba mundolwa, Manenge na mandawa, CHATU MLA WATU hahahahaha jamani vitabu vya siku hizi sijui.
 
Sikiri mimi masikini uvivu wangu nyumbaani,
ukiwa huunjiana nakufa hapa kwa nini
sadiki sasa ashiiba chakula kingi kwa baba
nirudi tena kwa baba nakufa hapa kwa nini

naombaradhi nimekoosa ntakuwa mtoto mwema sasa
nitakuwa kama sadiki
na nyumbani tena sitooki baba na mamanisameeni

au
asiyependa shule ni mjinga kabisa
twapenda mambo yoote ya shule kabisa
kujua kusooomatwaona furaha

hhhA hhhE hhhI hhhO hhhU
twaimbavyema leo..
 
mmh mi nakumbuka vile vya kina sadik na sikiri, shujaa hawafu,ndo nakumbuka kumbuka ila hicho sijui hata ni darasa la ngapi

Hiyo ni hadithi ya Pazi mtoto aliyekuwa anawatesa wanyama na alikuwa akiwabeba kuku vichwa chini MIJUU GUU,akakutana na jogoo aliyesema HAPO ULIPOOO,
 
Hahahaha imenikumbusha SIKU YA GULIO KATERERO, wakati huo nawafundisha wanafunzi wawili niliopangiwa na mwalimu wangu ambao tulikuwa nao darasa moja. Mmoja alifanikiwa kujua kusoma ila huyo ambaye hakufanikiwa kujua kusoma alikuwa balaa kwa kukariri hahaha. Kibanga ampiga mkoloni, sizitaki mbichi hizo, mjomba mundolwa, Manenge na mandawa, CHATU MLA WATU hahahahaha jamani vitabu vya siku hizi sijui.

Hapo juu ni NONDO MLA WATU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom