Hiyo ni hadithi ya Pazi mtoto aliyekuwa anawatesa wanyama na alikuwa akiwabeba kuku vichwa chini MIJUU GUU,akakutana na jogoo aliyesema HAPO ULIPOOO,
Sikiri mimi masikini,
Uvivu wangu nyumbani,
ukiwa huu njiani,
Napatatabu ya nini.
Sadiki sasa ashiba,
Chakula kingi kwa baba,
endelezeni wazee wenzangu.
jogoo aliesematujikumbushe kwa wale walio soma miaka 1992 kurudi nyuma.
kumbe wewe bado mbichi kabisa hongerahaaa!! We unasema kutengana na baba wakati wengine hata hatujazaliwa jamani? Kwanza hata hatujafikiriwa?
kumbe wewe bado mbichi kabisa hongera
mbichi kabisa utamu wako unaonekana hata katika maandishi yako,habari za asubuhiahsante ila mbichi kias bwana si kabisa