Unakijua Chama Cha KADIMA?


Maswali yako yana uhusinao gani na kinachojadiliwa kwenye thread hii?
 



Mwandishi kukosea jina la chama ni jambo la kawaida, na wala sio kosa kubwa kama unavyolinadi.
Matamshi ya watu yanatofautiana sana. Hapa Tanzania kuna watu wanashindwa kabisa kutamka neno 'nchi', wanasema 'n-nji'. Pia kuna watu wanashindwa kutamka neno 'mjomba' wanasema 'njomba'. Kwa hili wewe na wenzako mtaanzisha thread...!!!!

Kuhusu 'majoroty' alichosema ni kuhusu majority ni kwenye upinzani, yaani Chadema ndio majority kwenye upinzani (ndio maana imepewa kuunda kambi rasmi ya upinzani).

Kuendeleza sera nzuri hii pia ipo kwenye mahojiano, ila ulivyoiweka ni kama vile amesifu CCM.
Kuna sera nyingine haziangalii chama, mfano sera ya kilimo kwanza, sidhani kama kuna chama kimapinga kilimo.
Sasa wewe utasema kuwa amesifia CCM, na auawageuka wafuasi wake...!!

Tuwe tunaandika ukweli na sio feelings na utazamo fulani.
Pia tuwe wazalendo kwa nchi yetu, sio kushambulia mtu binafsi (personality) as if huyo mtu ndio aliyetufikisha kwenye umaskini huu wa kutisha.

Wa-Tanzania tuko busy kushambulia mtu fulani, wakati mafisadi, wauza unga, wala rushwa, majangili wanafilisi nchi yetu.
Tukija kushtuka nchi imeisha, na tunayemshambulia wala hahusiki kwenye ufujaji wa nchi hii.

Stay focused kwenye issue zenye tija kwa nchi yetu, na kuacha kumshambulia mtu binafsi.
Hii wenzetu wa Rwanda wameweza, na sasa Rwanda imeendelea kuliko Tanzania.
Tanzania tuko busy kumchafua mtu mmoja badala ya kuendeleza nchi.
 
Pamoja na wao kuwa mbele kiuchumi lakini wameshindwa kutatua tatizo la ajira. Kimsingi Tanzania amezizidi hata nchini nilizoendelea kama Italy, Spain na Ugiriki katika kutatua tatizo la ajira. Kimsingi hivi sasa Tanzania tunafanya vizuri na tunapiga hatua kubwa na ndiyo maana Dr. Slaa amesema ataiga sera nzuri za CCM. iwapo katibu amekiri KADIMA itabidi mkubali tu.

 
Yote amesema hakuna hata moja ulilomsingizia “Kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi”
 
Nani analipwa buku saba hapa?
Mkiitwa wazushi semeni tu asante sana.

 
Kauli za Dr. Slaa ndani ya mwezi mmoja:
- Hatutafanya uchaguzi mpaka chadema iwe imara
- Wana JF ni wambea na wana majungu
- Josephine kutumia ID yangu ya Jf is none issue
- Watu wanatuonea wivu ndoa yetu na Josephine
- Atatekeleza sera nzuri za CCM
- Kadima ina absolute majority
- Kadima ina wafuasi wengi vijijini.
Hizi ndiyo kauli za Rais kivuli.
 

Haya, haya,...!!

Mamndenyi upo hapaa..!!
Niambie Mamndenyi kama wewe unaweza kuandika post kama hii hapa juu ??
Kama unaweza ni kwa nini ?? Na kama hauwezi ni kwanini ??
Chezea pesa wewe ..!! Mtu anaandika chochote kile, bora tu ajira iwepo..!!!!
 
Last edited by a moderator:
Sasa hili tutusa linataka kutuambia nini? 'CCM ni sawa na ukoo wa panya, baba mwizi, mama mwizi, kaka mwizi, dada mwizi, babu mwizi, bibi mwizi, mkwe mwizi' By Mh. Nassari.😎
 
Mtangazaji alijisikia offended jina la kipindi kukosewa lakini sisi tunachekelea jina la chadema kukosewa big up mtoa mada huu ndio uzalendo kumhurumia mpita njia na kumnanga wa kwako
 

Hizi kauli za Slaa ndio zinawakatisha tamaa watu kama Mohammedi Mtoi kushiriki harakati za KADIMA.
 
Nani analipwa buku saba hapa?
Mkiitwa wazushi semeni tu asante sana.

Hapa nilikuwa nampa somo ZeMarcopolo. Maana jamaa huyu kaanzisha thread kwa sababu tu mwandishi fulani kakosea kutamka neno Chadema.
Basi kwa kukosea matamshi, jamaa huyu kaanzisha thread mliyoishabikia saaana.
Hivi kweli mtu amashabikia mwandishi kukosea matamshi ??

Kweli mtu unaanzisha thread kwa sababu ya mwandishi fulani kakosea kutamka neno ..??
Hapa ndio panapokuja swala la 'malipo'..!! Mtu huwezi kushabikia kwa nguvu sana makosa ya matamshi ya mwandishi bila sababu nzito sana.
Yaani hata wewe Mamndenyi umeingia kwenye kushabikia makosa ya matamshi ya mwandishi.
Yaani mwandishi akikosea tu kutamka neno, ninyi mnaanzisha thread ya kushabikia makosa hayo ya matamshi ya mwandishi...!!
Yaani hoja ya thread hii ni mwandishi kukosea kutamka neno Chadema, na wewe umeingia kwenye mtego huu...!!!!!!
Hebu angalia kama hii inaingia akilini bila ya kuwa na nguvu kubwa ya malipo..!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mtangazaji alijisikia offended jina la kipindi kukosewa lakini sisi tunachekelea jina la chadema kukosewa big up mtoa mada huu ndio uzalendo kumhurumia mpita njia na kumnanga wa kwako

Slaa aliwajibika kumrekebisha mtangazaji. Slaa ametia aibu...
 

Mamndenyi na ZeMarcopolo mmeona 'topic' halisi ya thread hii hapo kwenye blue...???
Yaani mada kuu ya thread hii ni makosa ya mwandishi kutamka neno Chadema.

Mamndenyi upo hapo ????
 
Last edited by a moderator:
"La kuvunda halina ubani" babu ndiyo anakwenda na maji hivyo. KADIMA wamechoka taabani kila wakiziba huku, kunapasuka huku.

 

Mkuu,

Kwanza naomba urekebishe kauli. According to maelezo ya kijana wa Dr. Slaa, Ben Saanane, ambaye kila anachoandika kinareflect jinsi anavyotumwa na Slaa, anasema KADIMA ndio kiingereza cha Chadema.

Kwahiyo mtangazaji hajakosea.

Pili, thread inahusu mambo mengi, sio kiingereza cha Chadema tu. Kwa mfano Slaa kadanganya kuwa KADIMA ina wafuasi wengi zaidi viijini kuliko mijini. Huu ni uongo LIVE. Wewe kama mpenda Mabadiliko wa kweli inabidi ukemee ulaghai wa Slaa badala ya kuutetea.
 
Last edited by a moderator:
SLAA alijua anahojiwa na Mwandishi wa habari wa TAnzania Daima na MAWIO nini?
 

Sawa ndugu.
Tanzania 'ajira' nyingi sana wakati hali ya uchumi inaporomoka.
Sijui kama wana-uchumi wanasemaje kwenye hili swala.

Ila duh, hoja ya leo ya ZeMarcopolo imetia fora.
Itabidi Zemarcopolo awe ana pita-pita mitaani kisikiliza watu wanavyotamka maneno.
Akisikia tu mtu kakosea kutamka neno 'mjomba' badala yake katamka 'njomba', basi Zemarcopolo atapiga mbio kuja JF kuanzisha thread..!!!
Hapo basi..... siku imeingia.....!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…