Hii imewah kunigharimu kumkosa mtoto mzur, nimefanya hvyo ileee paaaah narud hom ucku naambiwa "kesho unatakiwa usafir uende Arusha nenda kajiandae"haraka haina baraka au hujui hilo mkuu
Hahahaaaa bahat haikuwa yako mkuu lakin kwa watoto kama hao uwe unaenda nao pole poleHii imewah kunigharimu kumkosa mtoto mzur, nimefanya hvyo ileee paaaah narud hom ucku naambiwa "kesho unatakiwa usafir uende Arusha nenda kajiandae"
Nlitaman mshale urud nyuma
Tehtehtehtehusidhani hivyo vyote ulivyoelezea vitaenda simpo tu, vingine unaweza kuta unategewa mtego kama fumanizi hivi...kwa hiyo KY, mapanga, Kutoa hela na kifinyo lazima ujiandae navyo kama matokeo