Unajua nini kuhusu Devowoshipu

Unajua nini kuhusu Devowoshipu

Yaaani kuna watu jau jau jau..
Wengine wanapita kuanzisha midaharo ili washindane yesu Mungu au sio mungu 😂😂😂😂🤣🤣🙌🙌🙌🙌

Alafu hizo story za devowoshipu mpaka sasa mtwara na lindi huko bado zipo
Ukiwapata wajinga wajinga unawanyoosha tuu
 
Hivi zile sms za freemasson hata kina mo na bakhesa uwa wanatumiwa kweli au nisisi tuu
Kwanza namba ya mo wanapata wapi..
Zile tunatumiwa sisi ambao kule fb wakisema tutume namba za kujiunga kwenye magroup fulani fulani..
 
Back
Top Bottom