Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,777
- 6,907
Ukijitoa ufahamu kama hivi basi hadi mkokoteni utakupitia.Kama sijagongwa hadi leo basi, I might be doing something right.
Ukijitoa ufahamu kama hivi basi hadi mkokoteni utakupitia.Kama sijagongwa hadi leo basi, I might be doing something right.
Ukijitoa ufahamu kama hivi basi hadi mkokoteni utakupitia.
Mabasi ya Esther ni ya Esther. Swali ni, Esther ni nani?Basi umeshinda mkuu, mabasi ya Easter ni ya MN japo mwenyewe alipinga. Umefurahi sasa?
Kwanini iwe lake oil?? Mbona kuna kampuni nyingi za shell??Hata wakijitokeza nani ataamini?
Lake oil kila mtu anajua wamiliki wake ila bado watu wanaamini ni ya JK na walichoma moto sheli na tankers zake kwa sababu hiyo tu. Mtu anaamini anachotaka kuamini.
Kwanini iwe lake oil?? Mbona kuna kampuni nyingi za shell??
Wananchi sio wajinga, wanaelewa kila kitu.
watu wengi wanapenda kuwapa watoto wao jina la babu au bibi hasa first bornNyaraka na jina la mke tofauti,sasa hivi wameanza kudai Esther ni mama mdogo wa mwigulu,mara ni mtoto wa kwanza alifariki
UNa mengi unayajua endelea kuongeza nyama hapaTuache uzushi. Ester ni mtoto wa kwanza kwenye hiyo familia ambaye alifariki akiwa mdogo hivyo familia ikamuenzi mtoto wao kwa kumpa jina hilo. Hiyo familia haina uhusiano na PM.