Hapana mkuu ana mawazo baada ya futari kufutika pale ikulu na NSSFTeh teh teh!
Naona BAVICHA povu linakutoka ovyo unapingana na katiba yenu.
Kuonekana kwenye tv sawa inaweza kuwa na faida pia kwao japo teknolojia sasa hivi ipo juu hata usipowaona live kwenye tv,vitu vitarekodiwa utakumbana navyo huko kwenye mitandao kama ishu ni wao kutaka wananchi kujua walichokiongea.Hawa wanawatetea w/nchi ambao ndio wana shauku ya kuona Bunge live.Katiba inatakiwa ieleze kila kitu wazi na isiwe ya mafumbo mafumbo. Je katika tafsiri yako kukijenga chama kwanini isiwe kampeni ya kukipaisha chama kwa kuonwa kwenye TV?
Katiba ya chadema haiongoz nchi, so its only stupid who will discuss irrelevant issues, hebu tuangalie hii iliyoshindwa kutukwamua kwa miaka 55Sasa unasaidia nini kuboresha katiba mbaya na ya hovyo ya chadema?
Je d umeielwaje?Ingelikuwa tuna tafsiri vitabu vitakatifu/Sheria kwa akili nyepesi kama yako, basi pangekuwa hapana haja ya hayo maandiko. Kipengele (f) hujakielewa vizuri. Rudi darasani ili uweze kutambua mambo kwa urefu na mapana yake
Unajua kuwa wabunge wa chadema sio watetezi wa wananchi? Kwa mujibu wa katiba ya chadema wabunge wa chadema wanatetea chama.Kuonekana kwenye tv sawa inaweza kuwa na faida pia kwao japo teknolojia sasa hivi ipo juu hata usipowaona live kwenye tv,vitu vitarekodiwa utakumbana navyo huko kwenye mitandao kama ishu ni wao kutaka wananchi kujua walichokiongea.Hawa wanawatetea w/nchi ambao ndio wana shauku ya kuona Bunge live.
Si mnadai chadema ni chama mbadala? Chama mbadala wakati katiba yao ni mbovu tena ya hovyo kabisa.Katiba ya chadema haiongoz nchi, so its only stupid who will discuss irrelevant issues, hebu tuangalie hii iliyoshindwa kutukwamua kwa miaka 55
Kulingana na Katiba ya CHADEMA kuhusu kanuni za wabunge. Kwamba mbunge wa chadema sio mwakilishi wa wananchi bali ni mwakilishi wa chama. Na inasema wazi mbunge anapokuwa bungeni lengo lake kuu ni kukijenga chama na si kutetea maslahi ya wananchi.
Ndio maana hawa chadema wanataka kupitia mgongo wa haki za vyombo vya habari kwa lengo la kujijenga kichama. Hebu pitia vifungi hivi hapa chini halafu utanipa jibu:-
2.0. KANUNI ZA WABUNGE WA CHADEMA:
Bila kuathiri kanuni na taratibu za Bunge na maadili ya viongozi na wanachama wa CHADEMA kama ilivyo katika Katiba ya Chama, Wabunge kwa tiketi ya CHADEMA wanapaswa wazingatie yafuatayo:- (Tafsiri: neno Mbunge = Mbunge wa CHADEMA).
(a) Mbunge anatakiwa kutii na kutimiza maagizo anayopewa na Chama kupitia vikao halali, kama hakubaliani na maagizo hayo aeleze hivyo kupitia taratibu na ngazi zilizowekwa kwenye Katiba ya Chama.
(b) Itakuwa ni mwiko kwa Mbunge kukashifu CHAMA au kiongozi wa CHADEMA ndani au nje ya Bunge.
(c) Mbugne ni mwakilishi wa Chama, kwa hiyo katika michango yao bungeni ni lazima wazingatie na kusisitiza sera, mwelekeo na msimamo wa Chama kwa jambo husika.
(d) Mbunge anawajibika kutumia hadhi, uwezo, wadhifa na nafasi aliyonayo kama Mbunge kukijenga Chama ndani na nje ya Bunge.
(e) Mbunge anatakiwa kuwa na tabia ambayo ni mfano wa kuigwa katika jamii.
(f) Ni wajibu wa Wabunge kutoa taarifa za utendaji kazi katika Majimbo yao kwenye vikao vya Chama.
(g) Ni wajibu wa Mbunge kuchangia Chama na kushiriki katika shughuli za uenezi wa Chama kama itakavyoelekezwa na vikao halali.
Hapo kwenye rangi nyekundu ndio hapoooo sasa. Lengo lao sio kutetea wananchi bali kujijenga kichama tu.
hahahahaha unanichekesha sana. Mbona unalia lia sana. Hebu badirisheni bana katiba yenu yaani mnataka mpige kampeni ndani ya bunge!!!? Ngoja tujenge kwanza nchi baadae litakuwa live lakini sio sasa.Hivi ni wanachama wa CHADEMA tu ndio walikuwa wanaangalia matangazo live? Kwa nini suala hili unalifanya kuwa partisan wakati matangazo live ni haki ya watu wote? Kama ni kweli unalosema (kwamba CHADEMA wanapenda live ili kujijenga) basi naudharau sana uelewa wako. Wanaoweza kujijenga zaidi kwa matangazo live ni watekelezaji wa sera (Serikali ya CCM). Sasa naomba uwaulize ni kwa nini hawataki matangazo live. Ni woga, woga, na siasa za kizamani ndio unaoturudisha katika ujima huu.
Umejisau wewe,wenye kiu zaidi ya kuona nini kina endelea Bungeni ni WANANCHI zaidi ya Chadema,nijieleze kuwa niko neutral, wewe unajaribu kuonyesha ni chama gani kinacho simamia maslahi ya wananchi haina tija kama chama chako kina jali zaidi wananchi sasa vipi kiwa nyime Demokrasi,Haki na uhuru wao wa kupata habari na kuona uwajibikaji wa walio watuma kuwakilisha matakwa yao halina utetezi katika hayo uliyo ainisha kwani nilini Wananchi walipo ulizwa kama wana afiki hayo yaliyo fanyika au hapana?eti tuletewe habari masaa baada ya kuchujwa kwani wanajadiliana uchi? taarifa za bunge zimesha kuwa X-RATED,Upuuzi mtupu tu, unao jaribu kutetea hapo ni WOGA tu wa chama chako hakuna nia njema yoyote kwa Wananchi juu ya hili wamepunguziwa zaidi ya kuongezewa, pengine iwe hujui unacho tetea umezolewa tu na ushabiki na usione UDIKTETA unao fanywa na chama chako.Hakuna ndani ya katiba ya CCM imesema kuwa mwanaCCM kuwa mtetezi wachama pekee akiwa bungeni. Bali mbunge wa CCM ni mwakilishi wa wananchi.
Mbona jitihada zako zipo wazi.... Sometime it is wiser to remain quite.. Hoja hapo ipo wapi, kwa hiyo ulivyo bwege wewe binafsi kunyimwa kupata habari sio haki yako ya msingi, mbona unakandia harakati za kurudisha bunge live kwa umma, waandishi pia katika mijadala yao kupambana na kurudisha bunge live nao katiba yao ina semaje, acha ubinafsi wewe, swala hili mbona kila mmoja wetu tunalipigia kelele isipo kuwa wewe mchawi, tubadirike watanzani na tupambane kwa pamoja kero za taifa kwa dira za namna hizi hazitufikishi mahala popote ni ujinga..Kulingana na Katiba ya CHADEMA kuhusu kanuni za wabunge. Kwamba mbunge wa chadema sio mwakilishi wa wananchi bali ni mwakilishi wa chama. Na inasema wazi mbunge anapokuwa bungeni lengo lake kuu ni kukijenga chama na si kutetea maslahi ya wananchi.
Ndio maana hawa chadema wanataka kupitia mgongo wa haki za vyombo vya habari kwa lengo la kujijenga kichama. Hebu pitia vifungi hivi hapa chini halafu utanipa jibu:-
2.0. KANUNI ZA WABUNGE WA CHADEMA:
Bila kuathiri kanuni na taratibu za Bunge na maadili ya viongozi na wanachama wa CHADEMA kama ilivyo katika Katiba ya Chama, Wabunge kwa tiketi ya CHADEMA wanapaswa wazingatie yafuatayo:- (Tafsiri: neno Mbunge = Mbunge wa CHADEMA).
(a) Mbunge anatakiwa kutii na kutimiza maagizo anayopewa na Chama kupitia vikao halali, kama hakubaliani na maagizo hayo aeleze hivyo kupitia taratibu na ngazi zilizowekwa kwenye Katiba ya Chama.
(b) Itakuwa ni mwiko kwa Mbunge kukashifu CHAMA au kiongozi wa CHADEMA ndani au nje ya Bunge.
(c) Mbugne ni mwakilishi wa Chama, kwa hiyo katika michango yao bungeni ni lazima wazingatie na kusisitiza sera, mwelekeo na msimamo wa Chama kwa jambo husika.
(d) Mbunge anawajibika kutumia hadhi, uwezo, wadhifa na nafasi aliyonayo kama Mbunge kukijenga Chama ndani na nje ya Bunge.
(e) Mbunge anatakiwa kuwa na tabia ambayo ni mfano wa kuigwa katika jamii.
(f) Ni wajibu wa Wabunge kutoa taarifa za utendaji kazi katika Majimbo yao kwenye vikao vya Chama.
(g) Ni wajibu wa Mbunge kuchangia Chama na kushiriki katika shughuli za uenezi wa Chama kama itakavyoelekezwa na vikao halali.
Hapo kwenye rangi nyekundu ndio hapoooo sasa. Lengo lao sio kutetea wananchi bali kujijenga kichama tu.
Kwani haki ya kupata habari lazima Live? Ni Sheria ipi inayosema mjadala wa bunge uwe live? Mwisho wa siku mtataka watu wakiwa wanajenga barabara iwe live.Umejisau wewe,wenye kiu zaidi ya kuona nini kina endelea Bungeni ni WANANCHI zaidi ya Chadema,nijieleze kuwa niko neutral, wewe unajaribu kuonyesha ni chama gani kinacho simamia maslahi ya wananchi haina tija kama chama chako kina jali zaidi wananchi sasa vipi kiwa nyime Demokrasi,Haki na uhuru wao wa kupata habari na kuona uwajibikaji wa walio watuma kuwakilisha matakwa yao halina utetezi katika hayo uliyo ainisha kwani nilini Wananchi walipo ulizwa kama wana afiki hayo yaliyo fanyika au hapana?eti tuletewe habari masaa baada ya kuchujwa kwani wanajadiliana uchi? taarifa za bunge zimesha kuwa X-RATED,Upuuzi mtupu tu, unao jaribu kutetea hapo ni WOGA tu wa chama chako hakuna nia njema yoyote kwa Wananchi juu ya hili wamepunguziwa zaidi ya kuongezewa, pengine iwe hujui unacho tetea umezolewa tu na ushabiki na usione UDIKTETA unao fanywa na chama chako.
Sijaona fikra finyu kama hizo hivi CCM wako wangapi ndani ya Bunge na Upinzani ni wangapi? wapige kampeni mkiwa wapi?,tatizo mna wazidi kwa idadi ila wana wazidi kwa hoja na kuchimbua madhambi yenu hapo ndipo ulipo woga wa CCM mnaogopa kivuli chenu kwenye ubadhilifu,rushwa na ufisadi.hahahahaha unanichekesha sana. Mbona unalia lia sana. Hebu badirisheni bana katiba yenu yaani mnataka mpige kampeni ndani ya bunge!!!? Ngoja tujenge kwanza nchi baadae litakuwa live lakini sio sasa.
Vous recherchez mari?Hapana mkuu ana mawazo baada ya futari kufutika pale ikulu na NSSF
Kwikwikwi basi rudi kwenye mada sasa.Sijaona fikra finyu kama hizo hivi CCM wako wangapi ndani ya Bunge na Upinzani ni wangapi? wapige kampeni mkiwa wapi,tatizo mna wazidi kwa idadi ila wana wazidi kwa hoja na kuchimbua madhambi yenu hapo ndipo ulipo woga wa CCM mnaogopa kivuli chenu kwenye ubadhilifu,rushwa na ufisadi.