Unajua kwanini CHADEMA wanataka Bunge Live?

Unajua kwanini CHADEMA wanataka Bunge Live?

Mbunge kukijenga chama ndani na nje ya bunge kumbe ni kosa? basi wa CCM ndio wametia fora. Hata bila kuandikwa ndani ya katiba ya chama, it is obvious kwa kiongozi wa ngazi yoyote ya chama (cha kisiasa, cha wafanyakazi, cha SACCOS) kukijenga chama chake popote alipo. Mie kama kiongozi wa TUGHE ngazi ya wilaya, nina wajibika kuijenga TUGHE ndani na nje ya wilaya yangu bila kuathiri katiba na sheria za nchi. I, kindly, argue ukajipange upya
 
Waliitengengeneza katiba yao wakijuwa kuwa Bunge litaendelea kurushwa Live Milele. Sasa ni wakati muafaka kwao kufanya Review ili waendane na wakati.
 
Mbunge kukijenga chama ndani na nje ya bunge kumbe ni kosa? basi wa CCM ndio wametia fora. Hata bila kuandikwa ndani ya katiba ya chama, it is obvious kwa kiongozi wa ngazi yoyote ya chama (cha kisiasa, cha wafanyakazi, cha SACCOS) kukijenga chama chake popote alipo. Mie kama kiongozi wa TUGHE ngazi ya wilaya, nina wajibika kuijenga TUGHE ndani na nje ya wilaya yangu bila kuathiri katiba na sheria za nchi. I, kindly, argue ukajipange upya
Je Bungeni ni sehemu ya kutangaza chama chako cha siasa au sehemu ya kutoa sauti ya wananchi?
 
Shaka yangu mutabana soon mutaachia! Lkn nilipenda sana muendelee kujipotosha hivihivi kutoonyeshwa kuwa inafaida kwenu.Ulimwengu wasasa ni wakubadili matatizo kuwa changamoto na hatimaye kugeuzwa kuwa fursa.Subirini hapohapo mutajionea mwisho wa hii game.
 
Kwikwikwikwikwi. Umesoma lakini katiba ya chama chako?
 
Nimesema leta fact. Acha mbwembwe kama hujui kaa kimya. Tunawataka wakubwa zako watueleza walikuwa na maana gani kutunga katiba mbovu huku wakijinasibu kuwa wabobezi wa sheria.
 
Nimesema leta fact. Acha mbwembwe kama hujui kaa kimya. Tunawataka wakubwa zako watueleza walikuwa na maana gani kutunga katiba mbovu huku wakijinasibu kuwa wabobezi wa sheria.
Basi naamin wabunge hao wa CDM wanavunja katiba yao au kanuni zao wenyewe sababu jinsi wanavyopigana bungeni na kuibua kashfa mbalimbali, na baadhi ya viongozi kuadhibiwa naamin wanaenda kinyume kabisa na katiba yao sababu harakati zao zote hizo ni kutetea maslahi ya nchi kama mtoa post hukuliona hilo nina shida na the way unavyotumia akili yako kuchanganua mambo.

Mwananchi wa Kawaida.
 
Basi naamin wabunge hao wa CDM wanavunja katiba yao au kanuni zao wenyewe sababu jinsi wanavyopigana bungeni na kuibua kashfa mbalimbali, na baadhi ya viongozi kuadhibiwa naamin wanaenda kinyume kabisa na katiba yao sababu harakati zao zote hizo ni kutetea maslahi ya nchi kama mtoa post hukuliona hilo nina shida una the way unavyotumia akili yako kuchanganua mambo.

Mwananchi wa Kawaida.
Hebu rudi kwenye mada. Hapa tunaongelea katiba ya Chadema. Hivi tangu Lowassa aingie Chadema hoja ya chadema ni ipi?
 
Kipengele e ni balaa. Kweli niige tabia za Sugu, Lema, Msigwa?
 
Hebu rudi kwenye mada. Hapa tunaongelea katiba ya Chadema. Hivi tangu Lowassa aingie Chadema hoja ya chadema ni ipi?
Kama uko makini na umeelewa maelezo yangu sidhani kama unaweza kuuliza hilo swali. Fikiri vizuri kwanza

Mwananchi wa kawaida
 
Hebu rudi kwenye mada. Hapa tunaongelea katiba ya Chadema. Hivi tangu Lowassa aingie Chadema hoja ya chadema ni ipi?
ANGALIZO: Sipo kukitetea chama chochote iwe hiyo CDM au kingine chochote, sababu vyama vingi vya upinzani harakati zao bungeni zinalandana. sasa vyote vinafuata katiba ya CDM? Ndio maana nasema maelezo yako yanakinzana na baadhi ya vitu walivyokua wanafanya wabunge hao. Tusiongee kisiasa, Tuongee kitaaluma.

Mwananchi wa kawaida.
 
Kulingana na Katiba ya CHADEMA kuhusu kanuni za wabunge. Kwamba mbunge wa chadema sio mwakilishi wa wananchi bali ni mwakilishi wa chama. Na inasema wazi mbunge anapokuwa bungeni lengo lake kuu ni kukijenga chama na si kutetea maslahi ya wananchi.

Ndio maana hawa chadema wanataka kupitia mgongo wa haki za vyombo vya habari kwa lengo la kujijenga kichama. Hebu pitia vifungi hivi hapa chini halafu utanipa jibu:-

2.0. KANUNI ZA WABUNGE WA CHADEMA:
Bila kuathiri kanuni na taratibu za Bunge na maadili ya viongozi na wanachama wa CHADEMA kama ilivyo katika Katiba ya Chama, Wabunge kwa tiketi ya CHADEMA wanapaswa wazingatie yafuatayo:- (Tafsiri: neno Mbunge = Mbunge wa CHADEMA).

(a) Mbunge anatakiwa kutii na kutimiza maagizo anayopewa na Chama kupitia vikao halali, kama hakubaliani na maagizo hayo aeleze hivyo kupitia taratibu na ngazi zilizowekwa kwenye Katiba ya Chama.

(b) Itakuwa ni mwiko kwa Mbunge kukashifu CHAMA au kiongozi wa CHADEMA ndani au nje ya Bunge.

(c) Mbugne ni mwakilishi wa Chama, kwa hiyo katika michango yao bungeni ni lazima wazingatie na kusisitiza sera, mwelekeo na msimamo wa Chama kwa jambo husika.

(d) Mbunge anawajibika kutumia hadhi, uwezo, wadhifa na nafasi aliyonayo kama Mbunge kukijenga Chama ndani na nje ya Bunge.

(e) Mbunge anatakiwa kuwa na tabia ambayo ni mfano wa kuigwa katika jamii.
(f) Ni wajibu wa Wabunge kutoa taarifa za utendaji kazi katika Majimbo yao kwenye vikao vya Chama.

(g) Ni wajibu wa Mbunge kuchangia Chama na kushiriki katika shughuli za uenezi wa Chama kama itakavyoelekezwa na vikao halali.

Hapo kwenye rangi nyekundu ndio hapoooo sasa. Lengo lao sio kutetea wananchi bali kujijenga kichama tu.

Kwa hizo hoja hapo juu ulivyozipangilia, Serikali yetu tukufu ya viwanda isipokukumbuka basi tena. Utafia namtumbo unalamba tope. Hongera sana mkuu. Wacha tushangilie mkuu kila kipindi na zama zake
 
ANGALIZO: Sipo kukitetea chama chochote iwe hiyo CDM au kingine chochote, sababu vyama vingi vya upinzani harakati zao bungeni zinalandana. sasa vyote vinafuata katiba ya CDM? Ndio maana nasema maelezo yako yanakinzana na baadhi ya vitu walivyokua wanafanya wabunge hao. Tusiongee kisiasa, Tuongee kitaaluma.

Mwananchi wa kawaida.
Tatizo lako ni moja tu. Huenda huelewi tunaongelea nini hapa au umeamua kutokuelewa
 
Tatizo lako ni moja tu. Huenda huelewi tunaongelea nini hapa au umeamua kutokuelewa
Tatizo lako unajiondoa ufahamu na kujisahaulisha juu ya mambo yaliyofanywa na watu hawa bila kujali hiyo katiba yao inasema nini, tatizo la pili umeamua kuegemea kwenye siasa na si uhalisia na hapo hatuwezi kwenda sawa. Ndio maana nasema km katiba yao inasema hivyo basi hao wabunge wanaivunja wenyewe sababu kila mwenye akili anaweza kuona hawa jamaa wanafanyaga nin kule mjengoni.Kama ulitega shule huwezi elewa ninachosema.

Mwananchi wa kawaida.
 
Unatuzungumziaje ambao hatuna chama na tunataka bunge live. Huu ushabiki wa kisiasa huwa unabili mantiki na tija sana. Nahisi ni bora tuwe na chama kimoja ili sote tuwe na mtazamo wa kulijenga taifa
 
Kwani Wabunge wetu wa CCM hawatetei chama? Mkuu,acha kuchota tu-vifungu fulani twa katiba kwa malengo yako. Umeanza jana. Chambua na ya CCM yetu.

Mzee Tupatupa
Chadema ni chama cha kipuuzi sana, yani mbunge tumpigie kura halafu kumbe anatakiwa sio kutetea wananchi Bali kutetea chama!!
 
Kwikwikwikwikwi. Umesoma lakini katiba ya chama chako?
Mkuu mi sinaga muda wa kukaririshwa vipande vya mistari ya kwenye katiba kuhalarisha uzuzu wenu,Viumbe wa aina yako muko kila sehemu.Najua unajua! Huku hakuna akili za kiNepi wala kimakengeza mkuu.
 
Kwani Wabunge wetu wa CCM hawatetei chama? Mkuu,acha kuchota tu-vifungu fulani twa katiba kwa malengo yako. Umeanza jana. Chambua na ya CCM yetu.

Mzee Tupatupa
Jaribu kufikiria bs pale unapochangia mada mkuu,,,kwahiyo ww unataka chadema nayo ifanye mambo mabaya kwakuwa ccn wanafanya?! sasa hapo chadema itajitofautisha vp na ccm.Yaan badala ya kujenga hoja umebakia eti mbona ccm wanafanya,,kwahyo na chadema mafisadi kwakuwa ccm ni mafisadi maana ni mwendo wa kuiga tu hata yaliyo kinyune na maadili
 
Back
Top Bottom