Unajua kwanini CHADEMA wanataka Bunge Live?

Je, hivyo ndivyo unavyotafasiri sheria/kanuni?

Nafikiri kama lengo lako ni kuelimisha watu kuhusu mapungufu ya kisheria yaliyomo ndani ya Katiba ya CDM, ni bora ukafanya hivyo kwa kufanya uchambuzi bora na wenye kukidhi haja badala ya kukimbilia kuleta sensational quotations of the said party Constitution which may not bring your ill-intentions at home. Nimeendelea kusoma hoja zako nyingi, hakika sio uchambuzi wa kisheria kama unavyojidai kufanya, bali ni ujinga ndio unaoendelea kuandika.

Kwa taarifa yako, kila jambo linalotengenezwa na mwanadamu hapa duniani linaweza kufikia mwisho wake au kubadilisha kadri mwanadamu huyo atakavyoona inafaa, hata Katiba ya Tanzania, 1977 (as amended), inaweka masharti ya kuamua kufanya jambo fulani lifike ukomo wake au vinginevyo.

Mfano, ukisoma Ibara ya 98 ya Katiba utakuta maneno haya:

98.-(1) Bunge laweza kutunga Sheria kwa ajili ya kubadilisha masharti yoyote ya Katiba hii kwa kufuata Kanuni zifuatazo:-

(a) Muswada wa Sheria kwa ajili ya kubadilisha masharti yoyote ya Katiba hii (isipokuwa yale yanayohusika na
aya ya (b) ya ibara hii ndogo) au masharti yoyote ya sheria yoyote iliyotajwa katika Orodha ya Kwanza kwenye Nyongeza ya Pili utaungwa mkono kwa kura za Wabunge ambao idadi yao haipungui theluthi mbili ya Wabunge wote;

(b) Muswada wa Sheria kwa ajili ya kubadilisha masharti yoyote ya Katiba hii au masharti yoyote ya Sheria yoyote yanayohusika na jambo lolote kati ya mambo yaliyotajwa katika Orodha ya Pili kwenye Nyongeza ya Pili iliyoko mwishoni wa Katiba hii, utapitishwa tu iwapo utaungwa mkono kwa kura za Wabunge ambao idadi yao haipungui theluthi mbili ya Wabunge wote kutoka Tanzania Bara na theluthi mbili ya Wabunge wote kutoka Tanzania Zanzibar.

(2) Kwa madhumuni ya ufafanuzi wa masharti ya ibara ndogo ya (1) kubadilisha masharti ya Katiba hii au masharti ya sheria maana yake ifahamike kuwa ni pamoja na kurekebisha au kusahihisha masharti haya au kufuta na kuweka masharti mengine badala yake au kusisitiza au kubadilisha matumizi ya masharti hayo

Kwa msaada tu, mambo yaliyotajwa katika Nyongeza ya Pili ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo yanaweza kubadilishwa au kufutwa ni haya hapa:

ORODHA YA PILI
(Imetajwa katika ibara 98 (1) (b))
Mambo ambayo mabadiliko yake yahitaji kuungwa mkono na theluthi mbili ya Wabunge wote kutoka Tanzania Bara na theluthi mbili ya Wabunge wote kutoka Tanzania Visiwani.

1. Kuwapo kwa Jamhuri ya Muungano.
2. Kuwapo kwa Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano.
3. Madaraka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
4. Kuwapo kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano.
5. Madaraka ya Serikali ya Zanzibar.
6. Mahakama Kuu ya Zanzibar.
7. Orodha ya Mambo ya Muungano.
8. Idadi ya Wabunge kutoka Zanzibar.

KWA HIYO, SIONI AJABU KAMA KATIBA YA CHAMA FULANI IKAAMUA KUWEKA MASHARTI YA KUVUNJA CHAMA CHAO, NA ZAIDI, BAADA YA KUSOMA HIVYO VIPENGELE VYA KATIBA YA CDM, NIMEGUNDUA WALICHOFANYA NI SAHIHI KWANI HUWEZI KUVUNJA CHAMA BILA KULIPA MADENI YA WATU, if any.

Let's learn to do impeccable arguments.
_____________
Nadhani upo nje ya mada. Samahani lakini kwa kuandika maandishi meeengi ukiwa nje ya mada. Hapa tunaongelea ni namna gani Katiba ya chadema inavyo wanyima uhuru wabunge wake.

Hapa wewe naona kidogo umepotoka samahani lakini kama litakuwa hilo tusi kwako.
 
Ni kuulize tu swali moja. Je kazi ya bunge ni nini?
Kiongozi zingatia maana ya maneno! Na ili uelewe maana ya hivyo vifungu, anza na lengo la kuwepo (essence) upinzani. Kazi ya bunge kwa pamoja na mengine ni KUIDHIBITI SERIKALI. NA KAMWE SIYO "KUISHAURI SERIKALI".
 
Kulingana na Katiba ya CHADEMA kuhusu kanuni za wabunge. Kwamba mbunge wa chadema sio mwakilishi wa wananchi bali ni mwakilishi wa chama. Na inasema wazi mbunge anapokuwa bungeni lengo lake kuu ni kukijenga chama na si kutetea maslahi ya wananchi.

Ndio maana hawa chadema wanataka kupitia mgongo wa haki za vyombo vya habari kwa lengo la kujijenga kichama. Hebu pitia vifungi hivi hapa chini halafu utanipa jibu:-

2.0. KANUNI ZA WABUNGE WA CHADEMA:
Bila kuathiri kanuni na taratibu za Bunge na maadili ya viongozi na wanachama wa CHADEMA kama ilivyo katika Katiba ya Chama, Wabunge kwa tiketi ya CHADEMA wanapaswa wazingatie yafuatayo:- (Tafsiri: neno Mbunge = Mbunge wa CHADEMA).

(a) Mbunge anatakiwa kutii na kutimiza maagizo anayopewa na Chama kupitia vikao halali, kama hakubaliani na maagizo hayo aeleze hivyo kupitia taratibu na ngazi zilizowekwa kwenye Katiba ya Chama.

(b) Itakuwa ni mwiko kwa Mbunge kukashifu CHAMA au kiongozi wa CHADEMA ndani au nje ya Bunge.

(c) Mbugne ni mwakilishi wa Chama, kwa hiyo katika michango yao bungeni ni lazima wazingatie na kusisitiza sera, mwelekeo na msimamo wa Chama kwa jambo husika.

(d) Mbunge anawajibika kutumia hadhi, uwezo, wadhifa na nafasi aliyonayo kama Mbunge kukijenga Chama ndani na nje ya Bunge.

(e) Mbunge anatakiwa kuwa na tabia ambayo ni mfano wa kuigwa katika jamii.
(f) Ni wajibu wa Wabunge kutoa taarifa za utendaji kazi katika Majimbo yao kwenye vikao vya Chama.

(g) Ni wajibu wa Mbunge kuchangia Chama na kushiriki katika shughuli za uenezi wa Chama kama itakavyoelekezwa na vikao halali.

Hapo kwenye rangi nyekundu ndio hapoooo sasa. Lengo lao sio kutetea wananchi bali kujijenga kichama tu.

HAKUNA LIVE HAPA.
 
Kwani Wabunge wetu wa CCM hawatetei chama? Mkuu,acha kuchota tu-vifungu fulani twa katiba kwa malengo yako. Umeanza jana. Chambua na ya CCM yetu.

Mzee Tupatupa
Asa mzee mbona kama ulokurupushwa kitandani, apo kwenye red tumezoweya kuona sentensi tatu leo umeandika mbili au lumumba siku hizi ni ngumu kutamka mdomoni mwako.
 
Kulingana na Katiba ya CHADEMA kuhusu kanuni za wabunge. Kwamba mbunge wa chadema sio mwakilishi wa wananchi bali ni mwakilishi wa chama. Na inasema wazi mbunge anapokuwa bungeni lengo lake kuu ni kukijenga chama na si kutetea maslahi ya wananchi.

Ndio maana hawa chadema wanataka kupitia mgongo wa haki za vyombo vya habari kwa lengo la kujijenga kichama. Hebu pitia vifungi hivi hapa chini halafu utanipa jibu:-

2.0. KANUNI ZA WABUNGE WA CHADEMA:
Bila kuathiri kanuni na taratibu za Bunge na maadili ya viongozi na wanachama wa CHADEMA kama ilivyo katika Katiba ya Chama, Wabunge kwa tiketi ya CHADEMA wanapaswa wazingatie yafuatayo:- (Tafsiri: neno Mbunge = Mbunge wa CHADEMA).

(a) Mbunge anatakiwa kutii na kutimiza maagizo anayopewa na Chama kupitia vikao halali, kama hakubaliani na maagizo hayo aeleze hivyo kupitia taratibu na ngazi zilizowekwa kwenye Katiba ya Chama.

(b) Itakuwa ni mwiko kwa Mbunge kukashifu CHAMA au kiongozi wa CHADEMA ndani au nje ya Bunge.

(c) Mbugne ni mwakilishi wa Chama, kwa hiyo katika michango yao bungeni ni lazima wazingatie na kusisitiza sera, mwelekeo na msimamo wa Chama kwa jambo husika.

(d) Mbunge anawajibika kutumia hadhi, uwezo, wadhifa na nafasi aliyonayo kama Mbunge kukijenga Chama ndani na nje ya Bunge.

(e) Mbunge anatakiwa kuwa na tabia ambayo ni mfano wa kuigwa katika jamii.
(f) Ni wajibu wa Wabunge kutoa taarifa za utendaji kazi katika Majimbo yao kwenye vikao vya Chama.

(g) Ni wajibu wa Mbunge kuchangia Chama na kushiriki katika shughuli za uenezi wa Chama kama itakavyoelekezwa na vikao halali.

Hapo kwenye rangi nyekundu ndio hapoooo sasa. Lengo lao sio kutetea wananchi bali kujijenga kichama tu.
Kama umekosa chakuongea bora ukae kimya kwa kuwa hakuna mbunge asiye tetea chama chake awe ACT CAHDEMA CUF AU CCM wote wapo bungeni kwa niaba ya wananchi na kutetea chama.
 
mtoa post aliyekutuma mwambie umebugi kwa hilo watu wote huwa tunaona anaye tetea wana nchi ni nani leo nakuja na hadidhi za kale hapa.hivi huwa mnatuona watz hamnazo kabisa.kila usiku mnageuza uongo kuwa ukweli .
 
Umesoma katiba wewe? Hebu soma na uweze kuchambua engo mbili tatu hivi.
 
Hakuna ndani ya katiba ya CCM imesema kuwa mwanaCCM kuwa mtetezi wachama pekee akiwa bungeni. Bali mbunge wa CCM ni mwakilishi wa wananchi.
Ni kifungu gani kinasema Mbunge awe mtetezi wa chama pekee?acheni kuleta hoja ushuzi hapa na kutuondoa kwenye hoja ya msingi ya kuwapatia haki watz wawatazame wawakilishi wao live wakiwa bungeni ili watambue pumba na mchele.Pia itasaidia hata kuwashauri wawakilishi wao
 
Kifungu kipo kinachoongea kuwa mbunge wa chadema ni mpiga debe wa chama ndani ya bunge na hakuna kifungu kinachosema mbunge wa chadema ni mwakilishi wa wananchi.
Sasa kwa mantiki hiyo unategemea nini?
 
Kulingana na Katiba ya CHADEMA kuhusu kanuni za wabunge. Kwamba mbunge wa chadema sio mwakilishi wa wananchi bali ni mwakilishi wa chama. Na inasema wazi mbunge anapokuwa bungeni lengo lake kuu ni kukijenga chama na si kutetea maslahi ya wananchi.

Ndio maana hawa chadema wanataka kupitia mgongo wa haki za vyombo vya habari kwa lengo la kujijenga kichama. Hebu pitia vifungi hivi hapa chini halafu utanipa jibu:-

2.0. KANUNI ZA WABUNGE WA CHADEMA:
Bila kuathiri kanuni na taratibu za Bunge na maadili ya viongozi na wanachama wa CHADEMA kama ilivyo katika Katiba ya Chama, Wabunge kwa tiketi ya CHADEMA wanapaswa wazingatie yafuatayo:- (Tafsiri: neno Mbunge = Mbunge wa CHADEMA).

(a) Mbunge anatakiwa kutii na kutimiza maagizo anayopewa na Chama kupitia vikao halali, kama hakubaliani na maagizo hayo aeleze hivyo kupitia taratibu na ngazi zilizowekwa kwenye Katiba ya Chama.

(b) Itakuwa ni mwiko kwa Mbunge kukashifu CHAMA au kiongozi wa CHADEMA ndani au nje ya Bunge.

(c) Mbugne ni mwakilishi wa Chama, kwa hiyo katika michango yao bungeni ni lazima wazingatie na kusisitiza sera, mwelekeo na msimamo wa Chama kwa jambo husika.

(d) Mbunge anawajibika kutumia hadhi, uwezo, wadhifa na nafasi aliyonayo kama Mbunge kukijenga Chama ndani na nje ya Bunge.

(e) Mbunge anatakiwa kuwa na tabia ambayo ni mfano wa kuigwa katika jamii.
(f) Ni wajibu wa Wabunge kutoa taarifa za utendaji kazi katika Majimbo yao kwenye vikao vya Chama.

(g) Ni wajibu wa Mbunge kuchangia Chama na kushiriki katika shughuli za uenezi wa Chama kama itakavyoelekezwa na vikao halali.

Hapo kwenye rangi nyekundu ndio hapoooo sasa. Lengo lao sio kutetea wananchi bali kujijenga kichama tu.
pale mahaba kwa chama yanapozidi uwezo wa mtu kufikiria
 
Kifungu kipo kinachoongea kuwa mbunge wa chadema ni mpiga debe wa chama ndani ya bunge na hakuna kifungu kinachosema mbunge wa chadema ni mwakilishi wa wananchi.
Sasa kwa mantiki hiyo unategemea nini?
kwahiyo lisiporushwa ndo watageuka kuwa wawakilishi wa wananchi na c wapiga debe wa chama
 
CDM wanataka Bunge live kuwapa kick wapenzi Wao ambao wengi Ni watoto wa kijiweni. 2) Kujificha kwenye uchangiaji badala ya kudeliver ahadi za uchanguzi. 3) Kumhakikishia Lowasa kuwa hawajamtosa Na kuingia kwenye laini ya JPM. Ili la kutetea Katiba Na haki ya kupata habari Ili Linatia ukakasi. Kwa Mfano gongo hairusiwi kuuza ILA Kuna mbunge mmoja marefu wa CDM ananunua Na kunywa zaidi anawanunulia Na watu wengine pia. Unabaki Na maswali mengi kuliko majibu. Hivi hawa wabunge wana nia za dhati juu ya hili or is another political gimmick. Time will tell
 
Tunataka vikao vya chadema vioneshwe live
 
Back
Top Bottom