Unajua kwanini CHADEMA wanataka Bunge Live?

Annael, mbona sio Chadema pekee? CUF pia wamo, hata CCM wamo. Kwani hukumuona Mzee Mkinga pale Channel Ten alipokuwa akichuana na wale makada wa CCM wasiojitambua Mtela na Malik? BTW, wewe hukuwa unafurahi na kufaidika pale Bunge lilipokuwa linarushwa live?

Vv
Hapa tunaongelea kuhusu katiba ya chadema kusema mbunge sio mwakilishi wa wananchi yumo bungeni kwaajili ya kupigia debe matumbo ya mabwana zake wakubwa. Yaani wenye hisa. Kwahiyo mbunge ndani ya chadema ni product.
 
Hakuna ndani ya katiba ya CCM imesema kuwa mwanaCCM kuwa mtetezi wachama pekee akiwa bungeni. Bali mbunge wa CCM ni mwakilishi wa wananchi.

basi wanafanya kinyume wakifa mule wao ni kugonga meza tu saiv wanalia na majipu wakat walikuwa wanayagongea meza tu wasioafik na wanaoafik jibu ndiyoooooo
 
mbunge wangu nape nauye sijua nimtetezi wangu au mtetezi wa chama changu au mtetezi wa serika maana bado hatuja Mwelewa bora hao wa chadema Mara 100% kuliko Hawa wa chama changu
 
Weka na ya CCM tuone imeandikwaje kuhusu mwananchi
Kwenye thread hii tunaongelea katiba ya chadema jinsi gani ilivyo mbovu iliyo jaa ubabe wa hali ya juu kiasi cha kuwafanya wabunge kuwa watwana wa mabeberu yenye hisa ndani ya chama.
 
mbunge wangu nape nauye sijua nimtetezi wangu au mtetezi wa chama changu au mtetezi wa serika maana bado hatuja Mwelewa bora hao wa chadema Mara 100% kuliko Hawa wa chama changu
Hahahahaha umeamua kujilipua sio?
 
Kulingana na Katiba ya CHADEMA kuhusu kanuni za wabunge. Kwamba mbunge wa chadema sio mwakilishi wa wananchi bali ni mwakilishi wa chama. Na inasema wazi mbunge anapokuwa bungeni lengo lake kuu ni kukijenga chama na si kutetea maslahi ya wananchi.

Ndio maana hawa chadema wanataka kupitia mgongo wa haki za vyombo vya habari kwa lengo la kujijenga kichama. Hebu pitia vifungi hivi hapa chini halafu utanipa jibu:-

2.0. KANUNI ZA WABUNGE WA CHADEMA:
Bila kuathiri kanuni na taratibu za Bunge na maadili ya viongozi na wanachama wa CHADEMA kama ilivyo katika Katiba ya Chama, Wabunge kwa tiketi ya CHADEMA wanapaswa wazingatie yafuatayo:- (Tafsiri: neno Mbunge = Mbunge wa CHADEMA).

(a) Mbunge anatakiwa kutii na kutimiza maagizo anayopewa na Chama kupitia vikao halali, kama hakubaliani na maagizo hayo aeleze hivyo kupitia taratibu na ngazi zilizowekwa kwenye Katiba ya Chama.

(b) Itakuwa ni mwiko kwa Mbunge kukashifu CHAMA au kiongozi wa CHADEMA ndani au nje ya Bunge.

(c) Mbugne ni mwakilishi wa Chama, kwa hiyo katika michango yao bungeni ni lazima wazingatie na kusisitiza sera, mwelekeo na msimamo wa Chama kwa jambo husika.

(d) Mbunge anawajibika kutumia hadhi, uwezo, wadhifa na nafasi aliyonayo kama Mbunge kukijenga Chama ndani na nje ya Bunge.

(e) Mbunge anatakiwa kuwa na tabia ambayo ni mfano wa kuigwa katika jamii.
(f) Ni wajibu wa Wabunge kutoa taarifa za utendaji kazi katika Majimbo yao kwenye vikao vya Chama.

(g) Ni wajibu wa Mbunge kuchangia Chama na kushiriki katika shughuli za uenezi wa Chama kama itakavyoelekezwa na vikao halali.

Hapo kwenye rangi nyekundu ndio hapoooo sasa. Lengo lao sio kutetea wananchi bali kujijenga kichama tu.
hoja yako kama ina ukweli flani lakini nafikiri mbali na wabunge kutetea vyama vyao nadhani wananchi tulikuwa na haki ya kuonyesha bunge live ili tuweze kuona wawakilishi wetu. wanaganya nini bungeni.

mengine tungechambua wenyewe.
 
Kulingana na Katiba ya CHADEMA kuhusu kanuni za wabunge. Kwamba mbunge wa chadema sio mwakilishi wa wananchi bali ni mwakilishi wa chama. Na inasema wazi mbunge anapokuwa bungeni lengo lake kuu ni kukijenga chama na si kutetea maslahi ya wananchi.

Ndio maana hawa chadema wanataka kupitia mgongo wa haki za vyombo vya habari kwa lengo la kujijenga kichama. Hebu pitia vifungi hivi hapa chini halafu utanipa jibu:-

2.0. KANUNI ZA WABUNGE WA CHADEMA:
Bila kuathiri kanuni na taratibu za Bunge na maadili ya viongozi na wanachama wa CHADEMA kama ilivyo katika Katiba ya Chama, Wabunge kwa tiketi ya CHADEMA wanapaswa wazingatie yafuatayo:- (Tafsiri: neno Mbunge = Mbunge wa CHADEMA).

(a) Mbunge anatakiwa kutii na kutimiza maagizo anayopewa na Chama kupitia vikao halali, kama hakubaliani na maagizo hayo aeleze hivyo kupitia taratibu na ngazi zilizowekwa kwenye Katiba ya Chama.

(b) Itakuwa ni mwiko kwa Mbunge kukashifu CHAMA au kiongozi wa CHADEMA ndani au nje ya Bunge.

(c) Mbugne ni mwakilishi wa Chama, kwa hiyo katika michango yao bungeni ni lazima wazingatie na kusisitiza sera, mwelekeo na msimamo wa Chama kwa jambo husika.

(d) Mbunge anawajibika kutumia hadhi, uwezo, wadhifa na nafasi aliyonayo kama Mbunge kukijenga Chama ndani na nje ya Bunge.

(e) Mbunge anatakiwa kuwa na tabia ambayo ni mfano wa kuigwa katika jamii.
(f) Ni wajibu wa Wabunge kutoa taarifa za utendaji kazi katika Majimbo yao kwenye vikao vya Chama.

(g) Ni wajibu wa Mbunge kuchangia Chama na kushiriki katika shughuli za uenezi wa Chama kama itakavyoelekezwa na vikao halali.

Hapo kwenye rangi nyekundu ndio hapoooo sasa. Lengo lao sio kutetea wananchi bali kujijenga kichama tu.
Ukuu wa wilaya utafutwa mbali
 
Ukuu wa wilaya utafutwa mbali
Mgekuwa mnapinga kwa hoja ningewaona wa maana. Katiba yenu mbovu mbovu kabisa halafu mnaleta bra bra. Hakuna hata mmoja anayehoji kuhusu upuuzi uliofanywa na viongozi wenu. Ndani ya chama chenu hakuna uhuru full utumwa.
 
Kwenye thread hii tunaongelea katiba ya chadema jinsi gani ilivyo mbovu iliyo jaa ubabe wa hali ya juu kiasi cha kuwafanya wabunge kuwa watwana wa mabeberu yenye hisa ndani ya chama.
Ubovu na Ubabe ni "relative"or "comparable term", weka hiyo mbadala wake ili tuiiamini hiyo ni mbovu
 
Tumbueni majipu ndani ya chama chenu. Kisha mjifunze kuandika katiba toka kwenye chama kongwe cha Africa chenye uwezo mkubwa kinachoongozwa na wananchi sio kikundi cha watu wachache wanaokaa chumbani na kuamua huku nyie mkifuata nyuma kama nyumbu msiojua hatima ya chama chenu.
 
Sio mwanasheria wala mwanasiasa ila mtoa mada hajaelewa vifungu alivyo tuwekea.
Bungeni wanaenda wabunge ambao ni wawakilishi wa wananchi wa majimbo yao. Wakiwa pale bungeni kila mbunge ana chama chake na wote wanawajibika kwa vyama vyo. Kumbuka nini kilimtokea Zito Kabwe alipotolewa uanachama chadema na ubunge ukaishia hapo.
 
Kwa matiki yako chadema wabunge wao sio wawakilishi wa wananchi bali ni wawakilishi wa matumbo yao. Ok!!! nimekupata vizuri sana.
Siku zote, duniani pote wabunge wa chama tawala, hawajawahi kuwa wawakilishi wa wananchi. Hata hapo South Africa tumeoana, pamoja na Zuma kutumia pesa za walipa kodi kwa mambo yake binadsi, bado wabunge wa ANC walimtetea, mpaka Mahakama ilivyoamua, baada ya wabunge wa upinzani kufile case mahakamani (mahakama huru).

Wewe endelea na mawazo yako, ya ki-local
 
Kumbe wewe ulikuwa unapenda utawala wa makaburu sio? hebu weka sentensi yako sawa nikuelewe hapa.
 
Hilo mkuu linafahamika
Ndio maana tuna sema Hakuna Bunge live
Mbona watahangaika sana
 
kama hujaelewa shauri yako! Sio kazi yangu kukuelewesha, ni ubongo wako..
Kwa hiyo uelewekeje hapa sasa unatetea katiba mbovu ya chadema au unaipinga?
 
Kwamtu mwenye akili timamu huwezi kushabikia siasa zetu za.maji taka labda uwe na maslahi binafsi.
Kwa mifano hii ya Lowasa, Serikali ya JK na serikali ya JPM nimeamua kuanzia.sasa sintoshabikia.chama chochote cha siasa labda kama niwe na maslah binafsi ambayo ndio yatanifanya nishabikie sio tofauti na hapo.
Nikikumbuka wapinzani walivyokuwa wanamtuhumu Lowasa kwa rushwa nje.na ndani ya bunge na CCM kumtetea. Sasa Lowasa yuko CDM na CCM wanamuita fisadi na sasa upinzani wanamtetea kama utafikiria vizuri utaona kabisa hawa jamaa wanaigiza.
Pia tukiangalia wakati wa serikali ya JK, wapinzani.walituambia serikali ya CCM imelala/imechoka ila wana CCM wakakanusha kabisa na kutuambia walikuwa sawa. Sasa JPM ameingia na kasi mpya CCM wanakubali kuwa hii ndio serikali sikivu sio ile ya awamu ya 4 hivyo wanakiri walilala kweli huku wapinzani wakitaka kasi iendane na matakwa ya haki za binadamu.
Yapo mengi unayajua ila mimi naamini waliopo kwenye vyama na washabiki wao wote mna masilahi yenu binafsi sio kwamba eti.mnavipenda vyama.
 
Unadhani mbowe anafanya kitu kwa hasara? Sau kabisa huyu anafanya biashara ya siasa.
 
Nashindwa kukuelewa. Watanzania wote tunahitaji Bunge live na wala si Chadema. Wasiotaka bunge live ni CCM ili wananchi wasione jinsi wabunge hao wanavyotetea maslahi ya chama chao na si ya wale waliowachagua kuingia bungeni - yaani wananchi.

Mkuu soma MADA vizuri ili uchangie kilicho ongelewa.

Mada ya BUNGE LIVE siyo MADA uliyoandikiwa hapo
 
Back
Top Bottom