Unajua kwanini CHADEMA wanataka Bunge Live?

N
Kwani Wabunge wetu wa CCM hawatetei chama? Mkuu,acha kuchota tu-vifungu fulani twa katiba kwa malengo yako. Umeanza jana. Chambua na ya CCM yetu.

Mzee Tupatupa
Na kumbuka kuwa hiyo ni katiba inayokutaka kuwa mwakilishi wa chama na wala siyo utashi wa mtu binafsi hvyo kitendo cha katiba kustate hilo linatupa mashaka ss kama wapiga kura wenu. Ni bora mtu afanyevkwa utashi wake kuliko kulazimishwa na katiba maana lazima uifuate
 
Huwezi kupata wafuasi humu jf kwa kuuongea vibaya upinzani hata uongeeje, ckuizi watu wamesoma wanajua nin kimefanyika tangu uhuru wanajua nani ni tatizo. Amini nakwambia hata upinzani ukifa kabisa ccm wakaweka kiongoz wao (ukimuacha magu) ukawa wakaweka jiwe, halafu mkawa fair kwenye kuhesabu kura, utashangaa kusikia lile jiwe limeshinda. Huu ndo ukweli. Unaweza kutafuta kila mbinu ya kuuzuia lakin huwezi, miaka 55 ni mingi sana. Unaweza kujiuliza kwa nin shein ameongeza mishahara 100% Lakin wapi, haiwezekani kwa hii dunia ya sasa.
 
Kwanini usijikite kwenye mada badala ya kuongelea chama kingine?
 
Tatizo langu ni moja tu; Lugha ya Malkia huwa siiwezi. Hebu dadavua kwa Lugha ya Nyerere.
Tatizo lako uwezo mdogo.Bunge kuonyeshwa live hata wanachama wenu wanataka na hata baadhi ya wabunge wenu wanaojielewa.Unafikiri Bunge kurushwa live haikua influence ya Magufuli utendaji wake kuonekana kwa w/nchi??
 
Hapo upo nje ya hoja. Hoja yangu hapa ndani ya katiba ya Chadema inasema mbunge apige kampeni ndani ya bunge.
 
Sio chadema pekee wanaotaka bunge live hta sisi wanaccm tunataka bunge live.
Mimi kma mwanaccm sisuport bunge kuwekwa kisirisiri.
 
Kulingana na Katiba ya CHADEMA kuhusu kanuni za wabunge. Kwamba mbunge wa chadema sio mwakilishi wa wananchi bali ni mwakilishi wa chama. Na inasema wazi mbunge anapokuwa bungeni lengo lake kuu ni kukijenga chama na si kutetea maslahi ya wananchi.

Ndio maana hawa chadema wanataka kupitia mgongo wa haki za vyombo vya habari kwa lengo la kujijenga kichama. Hebu pitia vifungi hivi hapa chini halafu utanipa jibu:-

2.0. KANUNI ZA WABUNGE WA CHADEMA:
Bila kuathiri kanuni na taratibu za Bunge na maadili ya viongozi na wanachama wa CHADEMA kama ilivyo katika Katiba ya Chama, Wabunge kwa tiketi ya CHADEMA wanapaswa wazingatie yafuatayo:- (Tafsiri: neno Mbunge = Mbunge wa CHADEMA).

(a) Mbunge anatakiwa kutii na kutimiza maagizo anayopewa na Chama kupitia vikao halali, kama hakubaliani na maagizo hayo aeleze hivyo kupitia taratibu na ngazi zilizowekwa kwenye Katiba ya Chama.

(b) Itakuwa ni mwiko kwa Mbunge kukashifu CHAMA au kiongozi wa CHADEMA ndani au nje ya Bunge.

(c) Mbugne ni mwakilishi wa Chama, kwa hiyo katika michango yao bungeni ni lazima wazingatie na kusisitiza sera, mwelekeo na msimamo wa Chama kwa jambo husika.

(d) Mbunge anawajibika kutumia hadhi, uwezo, wadhifa na nafasi aliyonayo kama Mbunge kukijenga Chama ndani na nje ya Bunge.

(e) Mbunge anatakiwa kuwa na tabia ambayo ni mfano wa kuigwa katika jamii.
(f) Ni wajibu wa Wabunge kutoa taarifa za utendaji kazi katika Majimbo yao kwenye vikao vya Chama.

(g) Ni wajibu wa Mbunge kuchangia Chama na kushiriki katika shughuli za uenezi wa Chama kama itakavyoelekezwa na vikao halali.

Hapo kwenye rangi nyekundu ndio hapoooo sasa. Lengo lao sio kutetea wananchi bali kujijenga kichama tu.
Nashindwa kukuelewa. Watanzania wote tunahitaji Bunge live na wala si Chadema. Wasiotaka bunge live ni CCM ili wananchi wasione jinsi wabunge hao wanavyotetea maslahi ya chama chao na si ya wale waliowachagua kuingia bungeni - yaani wananchi.
 
Hebu rudi kwenye mada. Hapa tunaongelea katiba ya Chadema. Hivi tangu Lowassa aingie Chadema hoja ya chadema ni ipi?
Nawewe mbona huna unachosimamia hivi lowasa ndio katiba ya ya CDM?
 
Nashindwa kukuelewa. Watanzania wote tunahitaji Bunge live na wala si Chadema. Wasiotaka bunge live ni CCM ili wananchi wasione jinsi wabunge hao wanavyotetea maslahi ya chama chao na si ya wale waliowachagua kuingia bungeni - yaani wananchi.
Hahahaha umeisoma katiba ya Chadema wewe kweli? hebu rudia hapo kwenye point niliyoiwekea rangi nyekundu.
 
Hiyo katoba mbona niyalumumba huku chadema hatuna katiba ya namna hiyo
Aisee hebu soma katiba yako ndugu

SEHEMU A:
KANUNI ZA KUSIMAMIA SHUGHULI, MWENENDO NA MAADILI YA WABUNGE WA CHADEMA

2.0. KANUNI ZA WABUNGE WA CHADEMA:

Bila kuathiri kanuni na taratibu za Bunge na maadili ya viongozi na wanachama wa CHADEMA kama ilivyo katika Katiba ya Chama, Wabunge kwa tiketi ya CHADEMA wanapaswa wazingatie yafuatayo:- (Tafsiri: neno Mbunge = Mbunge wa CHADEMA).

(d) Mbunge anawajibika kutumia hadhi, uwezo, wadhifa na nafasi aliyonayo kama Mbunge kukijenga Chama ndani na nje ya Bunge.

Soma katiba yako aise acha kuburuzwa.
 
Hapo upo nje ya hoja. Hoja yangu hapa ndani ya katiba ya Chadema inasema mbunge apige kampeni ndani ya bunge.
Mkuu mimi sioni ubaya wa hiko kipengele#kukijenga chama si kupiga kampeni kama wewe ulivyoelewa.Ni pamoja na kujenga hoja zenye maana ambazo zitawafanya w/nchi kuona utofauti..
 
Katiba inatakiwa ieleze kila kitu wazi na isiwe ya mafumbo mafumbo. Je katika tafsiri yako kukijenga chama kwanini isiwe kampeni ya kukipaisha chama kwa kuonwa kwenye TV?
 
CHADEMA INAZO SERA ZAKE AMBAZO NDIZO ZINAONGOZA NCHI. KIUCHUMI, KIDEMOKRASIA, HAKI ZA BINADAMU, KIAFYA, KIJAMII NK. NA KWA HIYO VIPENGELE HIVYO NI VYA KIKUMBUKUMBU KWA AJILI YA KUWAKUMBUSHA WABUNGE WAKE KATIKA HOTUBA ZAO. UNAPASWA KUJUA PIA KUWA UPINZANI UPO KWAAJILI YA MABAYA YA SERIKALI: KUFICHUA YALIYOFICHWA; NA KUFAFANUA UKWELI DHIDI YA ULAGHAI WA SERIKALI. YOTE HAYO NI KWA MANUFAA YA WANANCHI. SOTE NI MASHAHIDI, CCM ILISHAGANDA AKILI, INASUBIRI WAPINZANI WAWAZE NDIPO IPATE LA KUFANYA.
 
Mtu yeyote awaye akiwa na akili timamu na anashabikia ukandamizwaji wa kutoonesha bunge live ni mtu asiyeitakia mema nchi bunge linatoa mrejesho kwetu kujua ni kipi wawakilishi wetu wanakifanya tulikowatuma Serikali na Chama viache Uoga na Udikiteta kwani ndicho kinachowasumbua
 
Je unaongeleaje kuhusu kupiga kampeni ndani ya bunge kwa mujibu wa katiba yenu?
 
Mtu yeyote awaye akiwa na akili timamu na anashabikia ukandamizwaji wa kutoonesha bunge live ni mtu asiyeitakia mema nchi bunge linatoa mrejesho kwetu kujua ni kipi wawakilishi wetu wanakifanya tulikowatuma Serikali na Chama viache Uoga na Udikiteta kwani ndicho kinachowasumbua
Kwani kupewa mrejesho lazima live?
 
Kwanini usijikite kwenye mada badala ya kuongelea chama kingine?

Siwezi kujibu mada yenye objective ya kisiasa, nachokujibu ni namna gani hiyo objective haiwezi kufanikiwa.
 
Back
Top Bottom