Unajua alipo huyu Sylvia Bahame?

Unajua alipo huyu Sylvia Bahame?

Uyo mtu mara ya mwisho alikuwa akifanya kazi NBC sijui sasa hivi yuko wapi
 
Hapana umechanganya



Huyo ameteuliwa na mama kuwa mkuu wa wilaya nadhani ni uko Tanga kama sio handeni basi ni lushoto ila ni mkoa wa Tanga huko


Ila iyo I live you mmmmmhhh
 
bahamez.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom