Mkuu mbu najiuliza these days kuna
nini kinaendelea kwenye maisha yako
uko so philosophical na very deep......
Hii thread ya tatu naona unaingia too deep........
Kwa maoni yangu binadamu akiweza kujitambua
na kujua limitations zake,itakuwa rahisi pia kuwatambua wengine
na kuwakubali kwa mapungufu yao.......
Matatizo yetu wengi ni malezi tuliyopitia,vitabu tulivyosoma,walimu rasmi na wasio rasmi
waliotufundisha mambo mbalimbali.....
Hapo ndo vurugu inapoanzia....
Hawa watu wanaojiita ma HB huwa wanatabia za kutojiamini sijui kwanini na wanajiona wanastahili kila sifa nzuri. Mkuu asante sana kwa Busara zako, hatupendi kuona unatuacha hapa Jf.Lol....huwezi jua bana, labda ndio Wosia wangu kwa wana JF...Thanks kwa mchango wako bro...
Kikubwa ambacho naweza sema hapa ni kua in most cases sisi kama wanadamu
hua tunaji over estimate saana umuhimu wetu kwa watu watuzungukao maofisini,
mitaani, nyumbani na hata vijiweni.... to the extent inapotokea kua watu wana ku-ignore
ama kukupuuza ina kuchukua mda mrefu saana wewe kuweza tambua na gundua hilo
in most cases... for however they treat you is the way they have always treated you
and you let them with your subconscious mind....
Ila inapotokea bahati kua ukafunguka akili for what ever reasons (kwa mfano ukipitia
hii useful post) That is when unaanza ku evaluate the real you and those who sorround
you kama they are treating you right... na kama ulilvyosema hii hutokea saana kwa
wale ambao hutumia nguvu nyiiiingi so that they just belong....
Wanasema wewe una thamani gani bila title yako?????
Mfano kuna watu ukiondoa title wanazoshikilia mfano dokta fulani,
au professa fulani.....
Au manager fulani
au mmiliki wa kitu fulani.......
Wako sooo empty ,ni kama hawawezi ku exist bila titles hizo......
Mbu, usipojithaminisha mwenyewe ni vigumu mtu mwingine kukuthamini, kujithamini kuanzia ndani ya roho na mwili wako na hadhi yako kama binadamu kamili, hapo hata wengine wanaweza kukuthamini na kukuona wa maana, lakini kama upoupo tu hata hujui thamani yako hakuna atakayeina thamani yako.
kwa mfano ofisini, ukiingia ofisini the way unavyojichukulia na kujiamini na kujithamini, ndio hata wafanyakazi wenzako watakavyokuthamini, tunaona wafanyakazi wengine wapya wanaingia maofisini na personallity zao wanawakuta nyie mliopo, kwanza mpompo tu, hamjiamini hata kwenda kwa bosi ku present issue fulani ,yeye anakuwa anajiamini na kuweza hata kwenda kwa mabosi, na kama issue yake aliyoitoa huko inakubalika basi hata wale mabosi wataanza kumthamini na kumwona wa maana.Cha muhimu ni wewe mwenyewe kujua thamani yako binafsi mengine yataflow tu
Ni wewe mwenyewe kujiamini kujijua thamani yako ukiwa na title au bila title. Jitambue kwanza thamani yako jitambue unaworthy nini kwenye jamii inayokuzunguka kwa marafiki, kwa familia, kazini kwako, msikitini au kanisani, kwa watu wa cadre fulani na wale wasio na cadre yoyote, class fulani au professional fulani ya watu na wale ambao hawana class or professional yoyote. Je ushauri wako au maongezi yako yanathaminiwa na kutiliwa maanani. Je unapewa nafasi ya kutoa mawazo yako na yanathaminiwa vipi.ukishajitambua hapo kweli unaweza kujijua kuwa uko wapi na nini thamani yako. Haijalishi elimu yako wala kiasi cha pesa ulicho nacho wala nafasi yako uliyo nayo kazini au kwenye jamii.
Hawa watu wanaojiita ma HB huwa wanatabia za kutojiamini sijui kwanini na wanajiona wanastahili kila sifa nzuri. Mkuu asante sana kwa Busara zako, hatupendi kuona unatuacha hapa Jf.
Mbu Napenda sana threads zako bt nakiri kua hunichukua muda sana kuzielewa, zinameseji natambua bt puzzles nyingi sana! Uwe unafafanua fanua bro, haswa hizo picha teh!Lol....huwezi jua bana, labda ndio Wosia wangu kwa wana JF...Thanks kwa mchango wako bro...
Mkuu mi ningependa sana kama ingekuwa ni picha tu na maneno machache, as you know a picture is worth a thousand words, yaani mimi nimesoma heading tu na picha, tayari nikaanza kumjimbu, Mkuu Mbu, ongeza mapicha if anything kama ni kupunguza labda maneno...Mbu Napenda sana threads zako bt nakiri kua hunichukua muda sana kuzielewa, zinameseji natambua bt puzzles nyingi sana! Uwe unafafanua fanua bro, haswa hizo picha teh!
Mbu Napenda sana threads zako bt nakiri kua hunichukua muda sana kuzielewa, zinameseji natambua bt puzzles nyingi sana! Uwe unafafanua fanua bro, haswa hizo picha teh!Mkuu mi ningependa sana kama ingekuwa ni picha tu na maneno machache, as you know a picture is worth a thousand words, yaani mimi nimesoma heading tu na picha, tayari nikaanza kumjimbu, Mkuu Mbu, ongeza mapicha if anything kama ni kupunguza labda maneno...