Unajisikiaje unavyotongoza halafu ukakataliwa?

Unajisikiaje unavyotongoza halafu ukakataliwa?

Kwanini uumie baada ya kukataliwa??...
Inaonesha jinsi gani umejaa utoto mwingi...
 
Kwa sasa ni fweza tuu yani mambo yakiwa safi kukataliwa ni 0.005%. Sound then unatupia uzi wa kumtoa lunch na dinner samakisamaki kwisha habari yake.
 
Nasema athante thana nimenuthurika maambukithi mapya maana kila bahati mbaya ina makusudi yake.
 
Ukikataliwa ni motivation ya kutongoza mwingine mzuri zaidi,ukitongoza wanne lazima mmoja lazima akubali! Wanaokuambia hawajawahi kukataliwa huyo mwongo, mungu mwenyewe hukataliwa na viumbe aliowaumba, sembuse ww kiumbe wake wake? Ila usijaribu kutongoza usiyempenda utakuja juta!
 
Wakuu,

Mapenzi bwana acha tu, niimetongoza mademu kibao wengi wao wakiwa wazuri wa sura mana ndo ugonjwa wangu.Wapo waliokubali, waliopotezea bila kunijibu na walionikataa.

Lakini katika kutongoza kwangu nimewahi kuumia sana kwa kumtokea msichana flani ambaye alionyesha dalili za kunipenda ila nilivyomtongoza akanikatalia katu katu.

Alikuwa akiniona anaona aibu mara hi! kwa sana but ndo hivyo akanikatalia, iliniuma sana kiukweli. Vipi wewe inakuaje na unajisikiaje msichana unamtongoza anakukatalia na unampenda.

mi napenda anikatalie lakini awe ananikatalia huku anatabasamu....
 
bora alikataa kiustaarabu...wengine wanakataa na matusi juu
 
Mimi mwanamke akinikatalia ananifanya nipate hamu ya kusoma zaidi na kufaulu ili nipate pesa.
So endeleeni kunikataa.
Amma keep on doing.koz i love this shiiittt.
I love it,
I love it,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom