Unajisikiaje unavyotongoza halafu ukakataliwa?

Barnaba pro

JF-Expert Member
May 4, 2014
210
13
Wakuu,

Mapenzi bwana acha tu, niimetongoza mademu kibao wengi wao wakiwa wazuri wa sura mana ndo ugonjwa wangu.Wapo waliokubali, waliopotezea bila kunijibu na walionikataa.

Lakini katika kutongoza kwangu nimewahi kuumia sana kwa kumtokea msichana flani ambaye alionyesha dalili za kunipenda ila nilivyomtongoza akanikatalia katu katu.

Alikuwa akiniona anaona aibu mara hi! kwa sana but ndo hivyo akanikatalia, iliniuma sana kiukweli. Vipi wewe inakuaje na unajisikiaje msichana unamtongoza anakukatalia na unampenda.
 

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,632
1,909
Unapotongoza huna uhakika wa kupata.Unajaribu tu akikubali poa. Sasa utaumiaje wakati ulijua ni fity fity ? Halafu unatongozaje? Kama hujui usijaribu maana utakuwa ndoo robo.
 

Tembo2

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
386
516
Tofaut ya zamani na sa iv ni kua zanab nlikua napenda ila ss ivi natamani. So nkipigwa chini nasepa nahamia kwa mwingine. Yani kuna madem wengi sqna wa kutongozq had nashindwa nimfate yupi nimuqche yup
 

mapipando

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
2,914
3,522
Poa tu kwa sababu mwenye maamuzi na sababu za kukubali au kukataa ni yeye na si wewe,hivyo unapaswa kuheshimu maamuzi yake.
 

jje's

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
10,687
16,130
mbona kawaida sana Mkuu. Ingekuwa kila unayemtongoza anakubali wewe ungewaweza??

Tatizo hujatuambia umri wako so inakuwa vigumu kukushauri ili usiwe unaumia.
 

Uso wa nyoka

JF-Expert Member
Mar 17, 2014
4,792
2,368
Kukataliwa kunatokana na sababu nyingi; mtu anaweza kuwa anakupenda lakini hakuamini kuwa unampenda kweli sababu ameshaumizwa sana, anaweza kuwa hakupendi na haoni sababu ya kuremba and so anakupa makavu, anaweza kuwa na mpenzi, anaweza kuwa anaumwa HIV anaogopa kukuambukiza, Na mengine mengi anayojua yeye tu.
Kwa kifupi kukubali au kukataa ni hiyari yake mtongozwaji, huwezi kucontrol maamuzi yake unapomtongoza. Kuumia unapokataliwa ni swala la kawaida, labda umezee/ ujidanganye au uvunge ila kuumia kiasi cha kuanza kufanya mambo ya ovyo bila kujicontrol, ni dalili ya tatizo na unapaswa kutafuta msaada.
 

Lusajo11

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
1,888
1,954
Ukikataliwa ujue huna akili. Akili ndogo haiwezi kuitongoza akili kubwa. Ukiwa na akili kubwa utajua wapi kwa kwenda na wapi usiguse, na anayetongozwa hatahisi anatongozwa hadi siku atakayojikuta anakiri mwenyewe kuwa yeye ni wako.
 

Analyse

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
10,017
16,706
Akikataa huwa namckitikia sana,maana najiulizaga "ni kweli amekataa password ya ATM"??
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom