Unajisikiaje unavyotongoza halafu ukakataliwa?

Senior Boss

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
3,407
3,638
mkuu hzo sifa zote ninazo,yan nikiona msichana mzuri ameugusa moyo wangu namwambia tu ME NAHITAJ KUWA NA WEW,apo sasa ndo kazi ianziapo

Alaf at tyms unaweza ukawa mtu wa kuongea ma point ya life na bado unapigwa chini.

Alaf kuna wenzio wako smart nd appealling nusu ya maongezi ni pumba tu na ucheshi na wanang'oa vitu vya hatari. Other things being constant, Balansisha maongezi yako nae kote kote i.e. Masihara, unafki unao ambatana na ucheshi na most of all ni care (make her business your business).

In general huo ndio uchawi wangu. Jaribu ku mix madawa unaweza fanikiwa. Lol
 

TONY LOVE

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
717
362
Na mimi kunamsichana wa kitanga jamaan huyu binti ni mrembo kwelikweli ila anamaadili sana ya kidini huwa anakuja dukani kununua vitu takazoeana kwa kiasi flan, siku moja akaja dukan nikamuomba namba ya simu akasema ya nn" mie sikusema kitu nikampa cm yangu akaandika namba tukawa tunachat, jana nikamtumia sms ya kumtongoza mpaka sasa hajarudisha jibu mm hapa nawaza sijui nitakataliwa halafu yeye ni mslamu kafunga. Hivi jaman atanipa jibu kweli istoshe anafuata maadili ya dini.
 

Barnaba pro

JF-Expert Member
May 4, 2014
210
13
Alaf at tyms unaweza ukawa mtu wa kuongea ma point ya life na bado unapigwa chini.

Alaf kuna wenzio wako smart nd appealling nusu ya maongezi ni pumba tu na ucheshi na wanang'oa vitu vya hatari. Other things being constant, Balansisha maongezi yako nae kote kote i.e. Masihara, unafki unao ambatana na ucheshi na most of all ni care.

In general huo ndio uchawi wangu. Jaribu ku mix madawa unaweza fanikiwa. Lol

kwa hyo hii njia ya kumwambia nahtaj kuwa na wew niachane nayo
 

Senior Boss

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
3,407
3,638
kwa hyo hii njia ya kumwambia nahtaj kuwa na wew niachane nayo

Ni kauli flan ya kitoto kwa mtizamo wangu (ifanye ki utu uzima zaidi nd romantic at the same time)

Daah its hard to explain, somethings u kno them naturally...mkuu huangaliagi movies or series ukaona mifano. Tehe
 

Barnaba pro

JF-Expert Member
May 4, 2014
210
13
Ni kauli flan ya kitoto kwa mtizamo wangu (ifanye ki utu uzima zaidi nd romantic at the same time)

Daah its hard to explain, somethings u kno them naturally...mkuu huangaliagi movies or series ukaona mifano. Tehe

yan mkuu hyo ni gear tyu ya kuanzia,baada ya hapo akianza kujibu ndo maudambuudambu yanafuata
 

Senior Boss

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
3,407
3,638
yan mkuu hyo ni gear tyu ya kuanzia,baada ya hapo akianza kujibu ndo maudambuudambu yanafuata

Maudambwi yanaanza pale mazoea yanavyo anza..anza na gear ndogo nd maintain the momentum. Ukianza na gear no. 4 na gari ndio kwanza umeliwasha utapigwa chini na utaonekana bado mtoto...

Kuna kipindi nlikutana na mtoto mmoja posta simjui hanijui (hatujuani) ila alinivutia sanaa to my standards..

Nikawaza naanzaje kuongea nae Ghafla nikamropokea " Evelyne mbona siku hzi hunipigii, tokea nyama choma ndio ntolee mpaka leo " huku natabasamu.

Haaa na ye kanijibu " Mambo mengi dear, acha tu " huku ana smile. Ikaendelea with the shadow talks....(We later exchanged dials the rest is history), she became a very good friend of mine huu unaenda mwaka wa 3 saa hvi. Baadae Ikaja tokea pia anafahamiana na watu ambao walikua washkaj zangu sanaa high school and so the circle grew.

Bob at tyms ni maujanja yako na unavyoji present tu kikubwa jipende kwanza ww mwenyewe. Lol
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom