Unajisikiaje unavyotongoza halafu ukakataliwa?

Tofaut ya zamani na sa iv ni kua zanab nlikua napenda ila ss ivi natamani. So nkipigwa chini nasepa nahamia kwa mwingine. Yani kuna madem wengi sqna wa kutongozq had nashindwa nimfate yupi nimuqche yup

mkuu yupo tu ambaye unampenda na unashndwa mtongoza
 
Barnaba pro
Kukataliwa kupo sanaa tu. Tatzo unaenda kwa kunyenyekea...treat her as if she doesnt mean anything to u but onyesha care.

Ukijikuta paroko kwa sanaa ndio kabsaaa unaharibu. Alaf ujue kuoga, deodorant and be simple but smart. Lol

Kuna watu hawana hata baiskeli lakn wanang'oa vinu vya hatari.
 
Last edited by a moderator:
Mimi kuna mmoja tumezoeana sana adi ananiomba vitu flani flani kama mwaka adi anakuja home tunapiga story siku za weekend jamani hakuna kazi ngumu kama kumtongoza mliyezoeana naye nabaki kukodolea tu na moyo ukimuona ni mshtuko tuu dah!
 
Kukataliwa kunatokana na sababu nyingi; mtu anaweza kuwa anakupenda lakini hakuamini kuwa unampenda kweli sababu ameshaumizwa sana, anaweza kuwa hakupendi na haoni sababu ya kuremba and so anakupa makavu, anaweza kuwa na mpenzi, anaweza kuwa anaumwa HIV anaogopa kukuambukiza, Na mengine mengi anayojua yeye tu.
Kwa kifupi kukubali au kukataa ni hiyari yake mtongozwaji, huwezi kucontrol maamuzi yake unapomtongoza. Kuumia unapokataliwa ni swala la kawaida, labda umezee/ ujidanganye au uvunge ila kuumia kiasi cha kuanza kufanya mambo ya ovyo bila kujicontrol, ni dalili ya tatizo na unapaswa kutafuta msaada.

msaada gani unanipa
 
Ukikataliwa ujue huna akili. Akili ndogo haiwezi kuitongoza akili kubwa. Ukiwa na akili kubwa utajua wapi kwa kwenda na wapi usiguse, na anayetongozwa hatahisi anatongozwa hadi siku atakayojikuta anakiri mwenyewe kuwa yeye ni wako.

we hujawah kataliwa!
 
wakuu,

mapenzi bwana acha tu, niimetongoza mademu kibao wengi wao wakiwa wazuri wa sura mana ndo ugonjwa wangu.wapo waliokubali, waliopotezea bila kunijibu na walionikataa.

Lakini katika kutongoza kwangu nimewahi kuumia sana kwa kumtokea msichana flani ambaye alionyesha dalili za kunipenda ila nilivyomtongoza akanikatalia katu katu.

Alikuwa akiniona anaona aibu mara hi! Kwa sana but ndo hivyo akanikatalia, iliniuma sana kiukweli. Vipi wewe inakuaje na unajisikiaje msichana unamtongoza anakukatalia na unampenda.

tatizo ni kupendwa usipopendwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom