Unajisikiaje unavyotongoza halafu ukakataliwa?

Mimi mwanamke akinikatalia ananifanya nipate hamu ya kusoma zaidi na kufaulu ili nipate pesa.
So endeleeni kunikataa.
Amma keep on doing.koz i love this shiiittt.
I love it,
I love it,

endelea kusoma, ukizikamata hakuna kutongoza tena!!
 
endelea kusoma, ukizikamata hakuna kutongoza tena!!

Umeona eeeh bro.
Mdogo mdogo.
Afu sie wanaume tuna competitive advantage kwao.
Wao wakifika 30s tu kwisha habari. Wanaanza kuchanganyikiwa kama hawajaolewa.Ila sie hadi 70 ngoma inogile.
So hata sina puresha kimtu kikinikataa nakicheka tu kimoyomoyo,najisemea **** maKontena huko hata hayajafunguliwa wewe nikatae siku mdogo wako au mwanao atakapo kutambulisha kwangu ubaki mdomo wazi.
 
Wakuu,

Mapenzi bwana acha tu, niimetongoza mademu kibao wengi wao wakiwa wazuri wa sura mana ndo ugonjwa wangu.Wapo waliokubali, waliopotezea bila kunijibu na walionikataa.

Lakini katika kutongoza kwangu nimewahi kuumia sana kwa kumtokea msichana flani ambaye alionyesha dalili za kunipenda ila nilivyomtongoza akanikatalia katu katu.

Alikuwa akiniona anaona aibu mara hi! kwa sana but ndo hivyo akanikatalia, iliniuma sana kiukweli. Vipi wewe inakuaje na unajisikiaje msichana unamtongoza anakukatalia na unampenda.

Na mimi hivyo hivyo alafu majuzi tu hapa
Na nilijipa 100% nato******mb***a but ndo hvyo kanitolea mbavuni yani siamini mpaka saa hii ila cjakata tamaa coz c mara ya kwanza kunikuta hayo mdau nilishatongozaga miaka2 badae nik******bila jasho
 
Kutongoza ni kushawishi tu kama unampenda kwa dhati haina haja kumdanganya but kama humpendi unampanga na uongo kwa sanaaa yani ukweli aujue baada tu ya kumtawanya hapo ukute game ume perform fresh duh hata akijua ulikuwa unamdanganya habanduki ...key point ni kula mzigo tu
 
seduce!,seduce!,seduce!.You have nothing to lose and everythink to gain by seducing.TO be suceessful you need take risks and one of those risk is the willingness to risk rejection.Remember to seduce seduce seduce and say next,next,next until you get yes(es)you are looking for
 
mkuu wanawake hawatabiliki
 
mkuu me nimejarb weng tu ila majibu yao sometmes yanatia hasira
 
seduce!,seduce!,seduce!.You have nothing to lose and everythink to gain by seducing.TO be suceessful you need take risks and one of those risk is the willingness to risk rejection.Remember to seduce seduce seduce and say next,next,next until you get yes(es)you are looking for

seducing for long tme it may irritate ur gaining opportunty,better to seduce once and keepng silence
 
1. Dalili za kupendwa ndio zipi???!!
2. Unatongoza kwa nia gani haswa??!!
3. Ukikataliwa nini kinakufanya uumie??!!

Je wewe umewahi kutongozwa, ulijisikiaje??!! Ulikubali au ulikataa??!!

1:dalil za kupendwa ni ishara zinazonyeshwa
2:natongoza ili nipate mapenzi ya dhati na papuchi
3:naumia kwa sabab sipend kukataliwa najihs nina kasoro
 
Unapotongoza huna uhakika wa kupata.Unajaribu tu akikubali poa. Sasa utaumiaje wakati ulijua ni fity fity ? Halafu unatongozaje? Kama hujui usijaribu maana utakuwa ndoo robo.

natongoza kwa formula hii:NAHITAJI KUWA NA WEWE
zen akiulza maswal napata confidnce ya kujbu zaid
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom