Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,020
- 2,601
Nishachukua namba yake mkuu.Bila connection hutoboiMaisha ndivo yalivo,mgande akushike mkono Man,lazima Kuna sehemu atakupa msaada, Nchi zetu hizi bila kushikwa mkono hutoboi
Acha tu maisha hayana formula ni Afande ila kiumri very young,kila mtu na bahati yake hapa duniani.Nikikutana na mtu wa namna hiyo ana nipa spirit ya kukaza sana ili siku moja na mimi niwe kama yeye hata kumzidi, Nachukulia kama changamoto za maisha tu, sikati tamaa.
Kaka,nimekuona Twitani Ieo ume commentKufaulu mtihani sio kufaulu maisha.
Habari za jumapili wanajukwaa,Pia poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.Niende kwenye mada husika hapo juu hivi huwa unajisikiaje hasa pale unapokutana na rafiki zako mliosoma wote kipindi hicho wako mbali sana kimaisha kuliko wewe?
Kwa Upande wangu hii imenikuta wakati natoka Kanisani na stress nyingi zimejaa kwenye kichwa ghafla napigiwa honi na Gari nyeusi aina ya BMW X5 nikashituka kuona linapaki pembeni na Mtu anashuka ananiita jina langu la Ukoo! Nikamkubuka ni rafiki yangu tuliyesoma wote.
Advance Level ila yeye Alibahatika baada ya kutoka mujibu wa sheria alijiunga na Taasisi nyeti, hapa nchini kwa sasa ni Afisa mkubwa.
Kwa upande wangu akaniuliza "ndugu kwa sasa unapiga mishe gani?", ikabidi niwe muwazi nikamwambia kwangu bado mambo hayajakaa sawa japo,nilijisikia Aibu kidogo yaani niliyekuwa nampita class,namfundisha kila siku,tunakesha wote kwenye madesa kashanizidi ilihali mimi bado sioni mwanga.
Nikajisemea Moyoni "basi mpaka pale zamu yangu itakapo fika niendele kuwapigia wenzangu makofi kwa tabasamu na upendo."
Nashukuru akanipa lift mpaka home maana nilikuwa sijawahi panda hizi BMW aisee kuna utofauti mkubwa sana na hizi IST. Naishia hapo wakuu Mungu atubariki sote Jumapili njema.
Kwanini mkuu?Naumia kama wanavyoumia niliowazidi
Nataman kufika walipoKwanini mkuu?
Jiamini mdogo wangu.Umenikumbusha nilikutana na jamaa angu flani yupo ndan ya ndinga, ni nlikuwa kwa mguu akashuka kunipa hi, bas akajidai na mbwembwe nyingi mara atoe iphone then ajidai anaongea na watu wamtumie milion ngapi, nami nikatoa simu yangu daa alivyoiona alishtuka akajua mi nami kumbe nimo, bas nilitoa walet ninunue kitu flani, alivyoona njurugu zilivyojaa ,aliaga fasta akapanda gar akakimbia.
Mafanikio ni swala la muda na bahat pia, mtu yeyote anaweza kuwa yeyote kwa muda wowote.
Ishi kwa Amani na watu wote. Ebr 12:14
Moja ya komenti bora sana hapa JfBe yourself, be genuine! Jikubali ila usikubali kua kuna kufeli take it as a challenge! Wake up with a positive mind!