Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Ahaaahaaahaa we jamaa una akili sana

From profile picture to proper future
 
Ni kweli unaweza kabisa comfortably ukawa na mwanamke aliyevaa wigi jamani?

Shame on you guys.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume mnapenda tusuke nywele zipi???
Tukinyoa mtasema tuko sawa na vidume
Tukisuka za mkono twende kilioni mtasema washamba
Tukivaa mawigi ndo haya Sasa mpo kushusha vipondo hadi muda huu hamjamaliza

Swali:mnataka wadada wawe na nywele zipi...mbona hamueleweki jmn


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke anayenyoa anapendeza na yuko sexy sana. Hasa akibandika na hereni za duara zile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kwa hilo wigi na artificial beaut siweze hata kumsogelea.
 
Nasikia kuna watu wanajichubua mpaka kuna kauvundo fulani hivi kanatoka kwenye ngozi.... Can you imagine na hili joto la Mujini.... Wanawake tuache kujichubua jamani. Mungu ana sababu za kukuumba kwa rangi aliyokupatia. Tujiamini, Tujipende.
 
Hahqhqhqhaha mkuu umenichekesha sana, na hapo kny kucha sasa nyingine hadi zinatisha kuangalia, kope nazo dooh😎
 
Mi binafs mawigi stumi ila naona kuvaa wigi au kupaka make up once in a while kujifrahisha sio mbaya. Ishu ni pale mtu hajikubali na yupo always na mawigi, make up fake lash. Hata uhalsia wake haujulikani tena. Hiyo ndo tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nachukiaga tabia ya mwanamke kuvaa wigi na kuniuliza kama amependeza, wananisababisha nitende dhambi ya uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…