Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

funzadume

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Messages
8,995
Points
2,000
funzadume

funzadume

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2010
8,995 2,000
Dah hii topiki umenikumbusha kicheche change kimoja kilikuwa kinavaa wigi kama kavaa elemet la bodaboda
 
Word

Word

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Messages
1,330
Points
2,000
Word

Word

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2016
1,330 2,000
Kuna jaamaa aliwahi kukoment et alikutana na Dada mmoja amevaa hilo wigi sijui La sh ngapi lile daah et alikua akigeuka kushoto wigi bado limebaki kulia halieleweki liende wapi? sasa sijui shida ilikua Ni nini mtusaidie mawigi associate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPOPO

UPOPO

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Messages
2,065
Points
2,000
UPOPO

UPOPO

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2010
2,065 2,000
Haaa mi lemba langu tu au dreadlock. Wigi nop
 
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
13,751
Points
2,000
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
13,751 2,000
Wigi kama kiota cha ndege
 

Forum statistics

Threads 1,305,134
Members 501,635
Posts 31,538,454
Top