Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,824
- Thread starter
- #141
Hahahahhaha unajiona madini jirani yanguJilan Mi Najiona Kama Kiumbe Chenye Bahat
( Almasi Mchangani )
Sema Tuuu Hawajanishtukizia
Hahahahhaha unajiona madini jirani yanguJilan Mi Najiona Kama Kiumbe Chenye Bahat
( Almasi Mchangani )
Sema Tuuu Hawajanishtukizia
Amina mpenzNamuona Mungu akikusaidia utafika mbali.
Am proud of you!
Acha unaa mscheeww[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie nakuona mke bora wa mtu. Sasa ukianza kuniita bebi macho yakabadilika nnavyokuona itakua ntihani.
HahahaHahahaha uwaaache jama
Mimi SijioniUnajionaje?
Watu wana nafasi ya kukuona,inategemea na maono yao yako vipi,wapo watakaokuona kama unavyojiona na wapo watakaokuona tofauti na unavyojiona.Sasa inategemea pia na nia zao ziko vipi hao wanaokuona.Ukionwa tofauti na ukakosolewa na nusu ya jamii inayokuzunguka unatakiwa ubadilikeMkubwa, hii kanuni iko sahihi japo sio mara zote. Nakubaliana wakati mwingine hatujui uwezo tulio nao hadi pale tunapoambiwa na watu wanaotufaham vizuri, na hapo ndio tunashtuka kuona tunaweza kunufaikaje na huo uwezo/kipaji.
Kama ndani unajiona mtu usiyeweza mambo, inaathiri sana utendaji wako wa kazi, kuanzia unavyopanga mambo yango, maamuzi yako, mtazamo wako wa mambo na hata unapotoa ushauri.
Yeah ndio maana nikasema, jiamini lakini usijiamini sana.Mkubwa, hii kanuni iko sahihi japo sio mara zote. Nakubaliana wakati mwingine hatujui uwezo tulio nao hadi pale tunapoambiwa na watu wanaotufaham vizuri, na hapo ndio tunashtuka kuona tunaweza kunufaikaje na huo uwezo/kipaji.
Kama ndani unajiona mtu usiyeweza mambo, inaathiri sana utendaji wako wa kazi, kuanzia unavyopanga mambo yango, maamuzi yako, mtazamo wako wa mambo na hata unapotoa ushauri.
Jilan Yangu Mi Madin Matupu Sema Tuuuu SijantukiziwaHahahahhaha unajiona madini jirani yangu
Khaaa!Rol model wang n Jay z na Beyonce
AminIwe hivyo kwa sote mkuu kwa mapenzi yake Muumba
Yeah ndio maana nikasema, jiamini lakini usijiamini sana.
Kwa hiyo mtu kama magu utasema yeye shida yake ni nn.
Huyo Beyonce anachukua nafac yaKhaaa!
Change role models braza
Kutokukubali kukosolewaYeah ndio maana nikasema, jiamini lakini usijiamini sana.
Kwa hiyo mtu kama magu utasema yeye shida yake ni nn.
Haikuwa yako hii...Cjui Kama umesoma nlicho
Quote
Lkn ujue part ya Beyonce wwSooo nice
Hahaha unatakiwa kuwafanya watu wauone umadini wakoJilan Yangu Mi Madin Matupu Sema Tuuuu Sijantukiziwa
Hamna mambo yako mi yana nihusu [emoji1]Acha unaa mscheeww