Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,824
- Thread starter
- #21
Shikamoo keyboardHii keyboard iheshimiwe aisee
Shikamoo keyboardHii keyboard iheshimiwe aisee
OmwanaNajiona wa kawaida mnooo[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
HahahaaTutakubaliana tu na hali,maana ilivyo sivyo,na sivyo ndivyo[emoji23]
Umeonaeee...you the same, a real one...wa ndani atakujua zaidi.Ni vizuri mkuu kuliko kujikweza
Kwanini mkuu?Wa kwanza ku comment mwambien aolewe kwanza
Yes omwanaOmwana
My wewe sio wa kawaida bana, hadhi ipo juu kabisaNajiona wa kawaida mnooo[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Eee maaana.Sipati picha kungekua na jf video call humuHahahaa
Labda hivyo
Naaam.Tutakubaliana tu na hali,maana ilivyo sivyo,na sivyo ndivyo[emoji23]
Kujiona nafsini ila sio kujikweza hadharaniHaya mambo ya kujiona ni mazuri
Ila kuwa careful saa nyingine wananchi wanayo yasema kuhusu wewe ni kweli.
Jiamini ila usjiamini sana
Kabisaaaa na we unatakiwa kujijua zaidi undani wakoUmeonaeee...you the same, a real one...wa ndani atakujua zaidi.
SenseHahahaa
Labda hivyo
Ya WhatsApp yenyewe sifanyagi je ya humu ambapo hatujuani[emoji23] [emoji23] [emoji23]Eee maaana.Sipati picha kungekua na jf video call humu
Atakuwa amekuelewa mkuu mwifwa.My wewe sio wa kawaida bana, hadhi ipo juu kabisa
Hata kujiona nafsiniKujiona nafsini ila sio kujikweza hadharani
Panapobaki wanamalizia waliokaribu juu ya wakuonavyo.Kabisaaaa na we unatakiwa kujijua zaidi undani wako