Unajionaje?

Unajionaje?

Maneno yako ya kingereza yamenirudisha miaka kadhaa nikiwa sekondari , mwanadada aliyeitwa Asnatha alinambiaga siku iyo nilichelewa kurudi shule, ivo nikarudi saa sita mchana,, nilipoingia darasani tu , mbele ya mwalimu wangu, Darasa likapiga kelele za kufurahia kuniona.

Nanilipoenda kukaaa Asnatha alinambia hayo maneno.

Lkn pia maneno yako yamenikumbusha nilipokua nmepanga awali... Kule wababa wakahisi nmewazalisha wake zao sababu tu watoto wao wananipenda sanaaa kutwa kushindia kwangu ,wasiponiona wanalia ,,kile kitendo kikafanys wamama zao wanipendeee sanaaaa ,,,, hapo ndo yakasika maneno kua nakula wake zawatu oohhhh nimewazalisha .

Hata ivo nikaamua kuhama zangu ,, ila mmoja ya mama wa mtoto ,nilipokutania naye aliyasema hayo maneno yako ingawa yalikua yakiswahili.

Nilichojifunza .......Ukitaka kumla mke wamtu , au singo mama ,..wee jali sana mwanae[emoji23][emoji23]

Naishia hapa J!!!
[emoji3]
 
Hapo umenielewa nahii nikwasababu hamna mwanamke atakayempenda mwanamme wake kushinda kumpenda mtoto wake....hata km uyo mwanamme ndo kamzalisha.

Je umesahau ,Mama yupo radhi kumuua baba ili abaki na mali na watoto??? .

Ivo basi ukimpenda mtoto ,mama atakuona km wee niunatwmbua uchungu nando hapo unatunukiwa huku akikusisitiza "" Usipomwambia mtu utaendelea kula utamu wangu""[emoji23][emoji23]
Hahahaha kwa hiyo kutunza kwako siri ndo kufaidi kwako,lakini ukumbuke mapenzi hayanaga siri,ni kama kikohozi tu
 
Back
Top Bottom