Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,284
- 40,902
By nature a human being is selfish.......so everyone look at him/herself without considering pasepsheni of others
Siooo saaana,as i said sinaga role modal mieWanaku impress eèh
Sawa mamiiiiSiooo saaana,as i say sinaga role modal mie
HahahaHata bwana machache na mkewe wako vizuri japo watu wanawajudge age difference zao but me i believe age is just a number tu
Uyu JJWanaku impress eèh
Siwez kuandika chai J , hiyo ndo hali halisi , napenda watoto sababu nimarafiki wakweli wasioongopa.Hahahahahaha umeanza chai zako vlad,hahaa lakini ni vizuri kupendwa mpaka na watoto,huku kwetu tunaita nyota imeng'aa.haha ila hapo kwa wake za watu sikushauri
Haa haa hebu njoo nkung'ate skioHahahaha uweeeeeeeeee
You are right but sometimes u've to learn through other's perspection.How do they look at you,their perspective also may be right or wrong,it dependsBy nature a human being is selfish.......so everyone look at him/herself without considering pasepsheni of others
Usiniumize tuHaa haa hebu njoo nkung'ate skio
Hahaha kweli ukitaka kumroga mama mpende mwanaSiwez kuandika chai J , hiyo ndo hali halisi , napenda watoto sababu nimarafiki wakweli wasioongopa.
Nanikweli pia ukimpenda mtoto , Mama yake atakupenda tuuu iyo ipo.
Kwakweli ningekua mtumiaji Fursa , leo hiii ningekua nmebakiwa na kidoti tuuu sio ten mashine.
.
Haha hapana buaaaaaana sijamaanisha hivyo hata,though sipendi wababu buanaUyu JJ
Ata kuwa mke wa machache ndio ana mu impress kwa kutafuta easy life
Usisahau mrejesho mkuu.Kuna funzo nachukua nlifanyie utafit
Hahahaha nimeongelea lifestyle without kujudge mambo mengine,hatuwezi jua vya ndani but atleast furaha walionayo wakionekana kwa watu inavutiaHahaha
Aaah Machache pale zimependwa hela tuu. Yule mi sio role model
We una amini age is just a number si juz tuu ulisema age ni mhimu?
Jacki asingeweza kuolewa na mtu alo pitwa na Mchache kwa miaka 10 kama angekuwa ni maskini.Haha hapana buaaaaaana sijamaanisha hivyo hata,though sipendi wababu buana
Asijifunze kukula wake za watuUsisahau mrejesho mkuu.
Ukitaka nikupe reference ya nayokutana nayo mtaani , utasema dooooohhh mmkuu kwann unafunika kombe.
HahahahaHahahaha nimeongelea lifestyle without kujudge mambo mengine,hatuwezi jua vya ndani but atleast furaha walionayo wakionekana kwa watu inavutia
exactlyAnhaaa owk.Nobody has an objective experience of reality. It's all through our own individual prisms,empathy begins with understanding life from another person's perspective
Your right mkuu and i do agree u 100%You are right but sometimes u've to learn through other's perspection.How do they look at you,their perspective also may be right or wrong,it depends
Hapo umenielewa nahii nikwasababu hamna mwanamke atakayempenda mwanamme wake kushinda kumpenda mtoto wake....hata km uyo mwanamme ndo kamzalisha.Hahaha kweli ukitaka kumroga mama mpende mwana