Unajionaje?

Unajionaje?

Its both...brutal.cruel and beautiful.intriguing, and as i have said hapo juu i see the world as i see myself...

I am not cruel.....i take life as an intriguing one,
one can not expect world to be beautiful if oneself is not beautiful from inside.

It begins with you [emoji6]
Anhaaa owk.Nobody has an objective experience of reality. It's all through our own individual prisms,empathy begins with understanding life from another person's perspective
 
Hongera vlad kwa kuwa mfurahishaji kwa kila alie karibu nae,kipaji hiki ni kwa wachache sana.Hope u were born to make people happy.Be blessed
Maneno yako ya kingereza yamenirudisha miaka kadhaa nikiwa sekondari , mwanadada aliyeitwa Asnatha alinambiaga siku iyo nilichelewa kurudi shule, ivo nikarudi saa sita mchana,, nilipoingia darasani tu , mbele ya mwalimu wangu, Darasa likapiga kelele za kufurahia kuniona.

Nanilipoenda kukaaa Asnatha alinambia hayo maneno.

Lkn pia maneno yako yamenikumbusha nilipokua nmepanga awali... Kule wababa wakahisi nmewazalisha wake zao sababu tu watoto wao wananipenda sanaaa kutwa kushindia kwangu ,wasiponiona wanalia ,,kile kitendo kikafanys wamama zao wanipendeee sanaaaa ,,,, hapo ndo yakasika maneno kua nakula wake zawatu oohhhh nimewazalisha .

Hata ivo nikaamua kuhama zangu ,, ila mmoja ya mama wa mtoto ,nilipokutania naye aliyasema hayo maneno yako ingawa yalikua yakiswahili.

Nilichojifunza .......Ukitaka kumla mke wamtu , au singo mama ,..wee jali sana mwanae[emoji23][emoji23]

Naishia hapa J!!!
 
Hahahahahaha umeanza chai zako vlad,hahaa lakini ni vizuri kupendwa mpaka na watoto,huku kwetu tunaita nyota imeng'aa.haha ila hapo kwa wake za watu sikushauri
 
Maneno yako ya kingereza yamenirudisha miaka kadhaa nikiwa sekondari , mwanadada aliyeitwa Asnatha alinambiaga siku iyo nilichelewa kurudi shule, ivo nikarudi saa sita mchana,, nilipoingia darasani tu , mbele ya mwalimu wangu, Darasa likapiga kelele za kufurahia kuniona.

Nanilipoenda kukaaa Asnatha alinambia hayo maneno.

Lkn pia maneno yako yamenikumbusha nilipokua nmepanga awali... Kule wababa wakahisi nmewazalisha wake zao sababu tu watoto wao wananipenda sanaaa kutwa kushindia kwangu ,wasiponiona wanalia ,,kile kitendo kikafanys wamama zao wanipendeee sanaaaa ,,,, hapo ndo yakasika maneno kua nakula wake zawatu oohhhh nimewazalisha .

Hata ivo nikaamua kuhama zangu ,, ila mmoja ya mama wa mtoto ,nilipokutania naye aliyasema hayo maneno yako ingawa yalikua yakiswahili.

Nilichojifunza .......Ukitaka kumla mke wamtu , au singo mama ,..wee jali sana mwanae[emoji23][emoji23]

Naishia hapa J!!!
Kuna funzo nachukua nlifanyie utafit
 
Aaah
Baba riz tatizo wake wengi mnoo.

Yaan hapa bongo kwa sasa role model may be January, japo simpendi ila na acknowldge yule jamaa na mkewe wanaishi life poa sana
Hata bwana machache na mkewe wako vizuri japo watu wanawajudge age difference zao but me i believe age is just a number tu
 
Back
Top Bottom