Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,824
- Thread starter
- #381
Hongera vlad kwa kuwa mfurahishaji kwa kila alie karibu nae,kipaji hiki ni kwa wachache sana.Hope u were born to make people happy.Be blessedNajiona wa wakipekee na wakitofauti kiasi kwamba nina Fiti kila mahali ,nyakati .
Nahisi kuishi kawaida , kufurahisha yoyote atakayesimama mbele yangu ndio vimenifanya kua ivo.