DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,977
- 30,846
Nakuona na kicheko chakoAbeeh shem wangu
kinafika had jukwaaa la siasa
Nakuona na kicheko chakoAbeeh shem wangu
Na iongezeke leo keshoHaha roho wa bwana kateta nami
Hahahahaha nyie mna mambo,kwani kuna uajabu gani wapendwa?Daaaaah
Naungana na wew kutoa pongez hizi
JJ hongera sana aiseeeeeh
Jilan Huu Utan wa Ngumi Jilan [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahha unafuga mbwa kwa kutegemea nnya ya walevi?
Nitafanyaje sasa na huu ndio muda wa kupeana raha baada ya pilika za kutwa nzima.[emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji54]Naona unampamba mama watoto
Yajayo yanafurahisha...u just wait and see what will happen haha jojoHaha ni vizur..ila demmis na shunie wanataka uanzishe wakimalove eti
Ulipo yupo??Na me mlipo nipo
Tunashukuru umeanza na ujumbe muruaHahaha babe!!!but nilipanga nianze tarehe 14/4 ila roho wa bwana akanisukuma kufanya hivi leo
Saivi ana vimalaikaYule mtoto wako wa form 1 kaacha utukutu ?
Hutak atajwe mkuu ?Kulalaleki Demiss Shemeji Yangu Katajwa
mambo ni motoooooYajayo yanafurahisha...u just wait and see what will happen haha jojo
Doh[emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]
Halafu unapewa uile kavu kavu
Kwa nn chief ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka Sana Boss Wangu kwa Hili
Jay z!!!!!!she??Uzuri wake kwenye life style ni upi?
She is just the music superstar
NmekusomaKutamani kila kitu
Ninywe ngapi mkuuSana aiseeee
Jj hebu kunywa soda hapo kwa
Mangi
Achana Nayo Vp Lakin Mambo MengineKwa nn chief ?
Hahahaha utakua tepetepe kama ukwaju wa masikaNikiwa tepetepe wakat huo tupo kwenye video call na wew utakuwa hujaweka vitu mwilin unadhan nin kitatokea hapo shem ?
[emoji122][emoji122][emoji122]Haya mambo ya kujiona ni uko vzuri
Ila kuwa careful saa nyingine wananchi wanayo yasema kuhusu wewe ni kweli.
Jiamini ila usjiamini sana