Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,824
- Thread starter
-
- #221
Lifestyle may be.But mi namkubali na nyimbo zakeJigga anaweza kuwa role model katika lipi?
Na mi namkubali tuu
Hahaah ingekua hivyo ningeshukuru mbonaHaa haa magwanda naona
N kama alishtuka akajirudisha
Kwenye line up haraka
SafiNajiona wa kawaida sana tena sana.
Umenena vyema omwana
Unaweza kujiona keki kumbe wenzio wanakuona half cake
Ni kweli mkuuKuna siku tutakimbiana maana humu tumeaminiana ni watu wa aina fulani lakini ni tofauti
Etieeeeeeeh...!Moja kwa kumi
Malaika wa jiwe wakija tutapata shda sanaHii keyboard iheshimiwe aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakuona ni mtu mwenye wivu yaani mkeo huko ana shida aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umenena vyema omwana
Unaweza kujiona keki kumbe wenzio wanakuona half cake
Wewe ushaolewa or kuoaWa kwanza ku comment mwambien aolewe kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weka gavana kunywa kama drip hadi mdhamini afike mkuu, usije ukaosha vyombo.
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Ni kweli mkuu
Self evalution muhimu brodaaaHaya mambo ya kujiona ni uko vzuri
Ila kuwa careful saa nyingine wananchi wanayo yasema kuhusu wewe ni kweli.
Jiamini ila usjiamini sana
KabisaEtieeeeeeeh...!
Heee yan inamaana BadoHahaah ingekua hivyo ningeshukuru mbona
Ni hatari sana[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaofia nn kakaYa WhatsApp yenyewe sifanyagi je ya humu ambapo hatujuani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akikujibu uniiteWewe ushaolewa or kuoa
Sensitive commentHapo tatizo sio kuchunguza sana, tatizo ni dhana tuliyojijengea kwenye akili zetu.
Tumejenga dhana kuwa jambo fulani ukilifanya linatoa/leta matokeo fulani ambayo ni hasi ndio maana tunakuwa na hofu juu ya matokeo hayo.
Tunakula vingapi ambayo ni vyenye kuwa na uchafu zaidi ya bata na hatuvisemi!![emoji15] [emoji15] [emoji19] [emoji19]
Kabsaaa!Self evalution muhimu brodaaa