usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,977
- 14,102
Haa haa haa braza unatakaHahahaha
Badikisha role model wa wife braza
Nimuweke rihana
Haa haa haa braza unatakaHahahaha
Badikisha role model wa wife braza
Nimeona mambo ya kupenda penda hapo?Na mzee Mwifwa? Tumefanyaje kwani?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hamna mambo yako mi yana nihusu [emoji1]
Basi sku ule wazee mligonga nyundo hadi nika kimbiaHahaahaha
Ilichukua muda kaka kutulia
Ila ups n downs hazkosekan.
Umeninukuu vibaya [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeona mambo ya kupenda penda hapo?
Hamna muweke hata Michelle ObamaHaa haa haa braza unataka
Nimuweke rihana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeninukuu vibaya [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nitafanya Kama Ulivyo Sema Jilan Yangu Pasaka Hii Vp Sasa Kuhusu Mapocho PochoHahaha unatakiwa kuwafanya watu wauone umadini wako
Hahaha akubali kukosolewa lakini
Hilo sasa ndo tatizo kubwaKukosolewa inakupa nafasi ya kutafakari unavyojiona na kama kuna mabadiliko unatakiwa kufanya jinsi unavyojiona wewe binafsi.
Sio kila mtu anapenda kukosolewa na wakati mwingine hatupendi kuambiwa ukweli.
Ningeshangaa kama wasingekua waoMpaka hapa nlipo na nlipofkia
N Kwa baraka zao na kufuata
Maono yao Kwa ujumla wao
Ndo first then
Wanafuata hao wengine
Hahaha magwanda vepeUkaposain barua ya mshenga na
Kuandika yes!
Ila mi jigga namkubaliHahahaha
Badikisha role model wa wife braza
Hahaha theory haisemi mtu asikubali kukosolewaSi kwakuwa anafuata mawazo yako ya kujiona ako sahihi na anaweza kila kitu
Hehehe
Agiza hapo soda nakuja kulipaZawadi yangu naikuta wap
NakaziaNdivyo anavyojiona. Unajya theory haisemi lazima ujione kwa mazuri tu, au kuwa sahihi vile unavyojiona. Hapo kwenye kubadili mtazamo wa unavyojiona ndio tatizo kubwa linalomkabili
Umenena vyema sana mkuu,unavyojiona ndivyo watakavyokuchukulia.Hii ni kweli kabisa,em tazama wanyama pori simba ni mdogo kuliko tembo,pia ni mdogo kuliko twiga,lakini kila akimwona tembo au twiga yeye huona wale ni chakula,na hata tembo na twiga nao humwona simba kama mlaji. hii yote ni attitude ambayo kila mmoja anayo juu yake.
Wengi tumezoea kumuita simba mfalme wa pori,lakini hakuna ushahidi wa moja kwa moja au uthibitisho wowote unaohalalisha simba kuwa ni mfalme wa pori. Hii yote ni baada ya simba mwenyewe kujiona mfalme wa pori na hatimaye wanyama wengine nao wakamwona kweli ni mfalme.
"Your attitude determines who you are"
Andaa tumbo tu,litakuja hotpot hapo mpaka mshindwe kutembeaNitafanya Kama Ulivyo Sema Jilan Yangu Pasaka Hii Vp Sasa Kuhusu Mapocho Pocho
Utamtuma Mwanao Bass aniletee Kidogo [emoji23] [emoji23] [emoji23]