Unajiona una mikosi?

Nashukuru Mungu huu ujinga ulinipitia kushoto.

Lakini Mkuu Mshana Jr shule kule kwenye kuta za choo si walikuwa wanaandika majina yao ya kibaharia tu , inamaana mkosi unajua mpaka jina la a.k.a?
Aliwazalo mtu ndio huwa... Mwandiko wake umebeba dhima na uhalisia wake... Kuna mahusiano ya moja kwa moja kiroho na majina tunayojipa imagine unajiita Magonjwa Mtambuka....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom