Unajifunza nini hapa

Unajifunza nini hapa

Nakutia "Dinazarde, post: 17244830, member: 193860"]Mi ukinigomea mkono wangu nakushika kwa nguvu[emoji23][/QUOTE]
Nakutia ngumi ya pua. .
 
ila hizi salamu za mikono hata mie sipendi kwa kweli.. mtu anatoka kukuna... **** hapo hapo anakupa mkono!
 
1471488279370.jpg
1471488288690.jpg
 
hapo nimejifunza kuwa kwenye maisha busara ni kitu cha msingi sana kwa jamii yoyote na mahali popote paale!!! hapo kwa picha hiyo maalim seif amekosa busara na hekima kwanza hapo ni msibani na yeye kama kioo cha jamii hakupaswa kabisa kufanya huo ujinga wa kiwango cha juu kabisa!!! kama kuna tofauti sawa lakini si kwa namna hii!!
Ujinga ni huyo aliyepora madaraka Kwa kutumia jeshi na bado mtatengwa na jamii nzima kina Jecha nyie
 
Nimejifunza dhuluma ni kitu kibaya sn ktk maisha
 
Nimejifunza kuwa unafiki haukubaliki kwa wanadamu abadani asilani na nguruwe ni haramu,nyama yake ni haramu supu yake ni haramu na hata mikono mingine ni haramu pia kama kuwa wanafiki.
 
Back
Top Bottom