Unajifunza nini hapa

Unajifunza nini hapa

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,118
Reaction score
72,598
uploadfromtaptalk1471378373936.png
 
hapo nimejifunza kuwa kwenye maisha busara ni kitu cha msingi sana kwa jamii yoyote na mahali popote paale!!! hapo kwa picha hiyo maalim seif amekosa busara na hekima kwanza hapo ni msibani na yeye kama kioo cha jamii hakupaswa kabisa kufanya huo ujinga wa kiwango cha juu kabisa!!! kama kuna tofauti sawa lakini si kwa namna hii!!
 
Lakin kumbuka unafiki sio mzurii,au tumezoea unafiki
 
Ivi ukiwa mfuasi wa ccm lazima uwe na akili mbovu??
 
Lakin kumbuka unafiki sio mzurii,au tumezoea unafiki
siasa siasa siasa leo hii yako wapi???? kuna mtu yeyote aliyekuwa anafikiria kuwa ipo siku lowasa atajiunga chadema ?? kwa namna ambavyo akina lisu mbowe msigwa walivyokuwa wanamsema na kumtusi lowasa ?//

kubali ukatae kimwili lakini najua fika kuwa roho yako na akili yako inajua fika kuwa maalim seif kakoea sana
 
hapo nimejifunza kuwa kwenye maisha busara ni kitu cha msingi sana kwa jamii yoyote na mahali popote paale!!! hapo kwa picha hiyo maalim seif amekosa busara na hekima kwanza hapo ni msibani na yeye kama kioo cha jamii hakupaswa kabisa kufanya huo ujinga wa kiwango cha juu kabisa!!! kama kuna tofauti sawa lakini si kwa namna hii!!
Maalim hakutaka kuonesha unafiki , ni afadhal ameonesha hisia zake wazi wazi...
 
Ni sahihi... Kwan salamu ni lazima kuitikia?? Maalim hakupenda kuwa mnafiki.! Wazandiki ndo hata kama marehemu alikua jambazo utaskia.." Jamaa alikua mtu mwema na anaependwa na watu tena ni mfano wa kuigwa.." Wabongo tuache unafiki
 
Back
Top Bottom