Unajifunza nini hapa

Unajifunza nini hapa

hapo nimejifunza kuwa kwenye maisha busara ni kitu cha msingi sana kwa jamii yoyote na mahali popote paale!!! hapo kwa picha hiyo maalim seif amekosa busara na hekima kwanza hapo ni msibani na yeye kama kioo cha jamii hakupaswa kabisa kufanya huo ujinga wa kiwango cha juu kabisa!!! kama kuna tofauti sawa lakini si kwa namna hii!!
Kwanikafanyaje
 
Busara ingeanza kwa hao unaowaona wanabusara kufika kumuona na kumjulia hali Mzee Jumbe sio kujifanya mnajali kwenye msiba. Marehemu mwenyewe wosia wake hakuwataka wanafiki. Tatizo sio busara tatizo ni unafiki unaotumaliza wabongo
 
Nimejifunza kuwa hakuna waigizaji wazuri kama wanasiasa.
 
Hapo Maalim nampongeza sana mana kuna wanafiki wa kijani walitegemea kupamba kurasa za mbele za magazeti yao yenye kichwa kisemacho "Maalim Seif hatimae asalimu amri na kukubali yaishe"
 
Nimejifunza kuwa uwe na msimamo thabiti na usitetereke kwa hali zozote kukuondoa katika msimamo wako hadi mwisho
 
Ukiwa mnafiki utaficha kilichoko moyoni mwako. Maalim sio mnafiki hata kidogo!
 
Hapo Maalim nampongeza sana mana kuna wanafiki wa kijani walitegemea kupamba kurasa za mbele za magazeti yao yenye kichwa kisemacho "Maalim Seif hatimae asalimu amri na kukubali yaishe"
safi
 
Ukimwaga mboga namwaga ugali,kisha nachukua msumari natoboa sufuria uliopikia maana naona haina manufaa kwangu
 
hapo nimejifunza kuwa kwenye maisha busara ni kitu cha msingi sana kwa jamii yoyote na mahali popote paale!!! hapo kwa picha hiyo maalim seif amekosa busara na hekima kwanza hapo ni msibani na yeye kama kioo cha jamii hakupaswa kabisa kufanya huo ujinga wa kiwango cha juu kabisa!!! kama kuna tofauti sawa lakini si kwa namna hii!!
Sawa Umesema vema je angempa mkono kwa unafiki?
 
siasa siasa siasa leo hii yako wapi???? kuna mtu yeyote aliyekuwa anafikiria kuwa ipo siku lowasa atajiunga chadema ?? kwa namna ambavyo akina lisu mbowe msigwa walivyokuwa wanamsema na kumtusi lowasa ?//

kubali ukatae kimwili lakini najua fika kuwa roho yako na akili yako inajua fika kuwa maalim seif kakoea sana
Unamaanisha shein naya atajiunga na Cuf
 
Mi nilichojifunza ni kwamba wanasiasa wanachezea sana akili za watanzania bila watanzania wenyewe kujielewa. Kwa tukio hilo linajenga picha kuwa siasa ni uwadui ila endapo wakija kupatana tutaambiwa siasa sio uwadui.
 
Back
Top Bottom