Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,880
- 828,435
Leo ni siku muhimu na maalum sana kwenye ulimwengu wa soka Tanganyika pale Mnyama Simba mwakilishi pekee wa kimataifa Tanganyika... Atakaposhuka dimbani huko Morroco kumenyana kwenye fainali za CAF
Ni siku maalum sana kwa SIMBA kwakuwa ilifanikiwa kufika hatua hii miaka 30 iliyopita
Ni siku maalum pia kwakuwa mpaka kufika hapo ametoka mbali sana
Basi itengenezee umaalum wake kwakuwa huna hakika ya kuja kuona fainali nyingine.. Ifanye siku ya leo kuwa tukio la kipekee sana..
Mimi nimeshatua Bukoba hapa tangu jana lakini final destination ni hapo kwa M7 Kampala kiwanja maarufu cha PLAN B mtaa wa Mengo
Kwakuwa SIMBA anaenda kuushangaza ulimwengu wa soka..basi siku ya leo ifanye maalum sana kwa wivu mkubwa kabisa
Wabongo mlioko Kampala see you baadae PLAN B .. Tutatambuana kwa mavazi na lafudhi
Mungu ibariki SIMBA❤💕❤💕