ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
He...Singapore kuna mambo!
heeheheheee
Nimeiangalia.
Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya kristo amekuwa kiumbe kipya, ya kale yanapita, tazama yanakuwa mapya.
asante kwa kutukumbusha,kijana upo juu kwa hili
Nimekukumbusha lipi tena.
Ninyi ni wa baba yenu Ibilisi na tamaa zake ndizo mpendazo kuzitenda.
hahahaa kwa style hii watz tunakua ****ed mpaka tumepitiliza!
Mambo ummy?
Tena matamu hayo njoo uyaone mwenyewe