Siku ni illusion kwa sababu akili zetu zimeamua kwa pamoja iwe hivyo tuChief kila jambo unaliwekea complication [emoji23]
toa sababu kwanini siku ni illusion!
Siku ni mabadiliko ya vipimo vya muda ambao dunia inajizungusha mzunguko mmoja kwenye muhimili wake.Siku ni illusion kwa sababu akili zetu zimeamua kwa pamoja iwe hivyo tu
Unaelewa kuhusu illusion au nakupa mzigo kwenye ubongo wako dude?Siku ni mabadiliko ya vipimo vya muda ambao dunia inajizungusha mzunguko mmoja kwenye muhimili wake.
Huo muda unakadiriwa kufanana(saa24), hivyo saa24 zinakamilisha siku.
Au simply, jua likizama mpaka litakapozama tena inaunda siku. For convenience muda umepewa vipimo na majina.
Fact, mfano ungekuwa kwenye jamii ambayo haijawa expose na dini wala elimu ya kizungu wala elimu yoyote ya unajimu maana ungekuwa hauna siku saba, ungekuwa na siku moja tu.Siku ni illusion kwa sababu akili zetu zimeamua kwa pamoja iwe hivyo tu
Sure broFact, mfano ungekuwa kwenye jamii ambayo haijawa expose na dini wala elimu ya kizungu wala elimu yoyote ya unajimu maana ungekuwa hauna siku saba, ungekuwa na siku moja tu.
Nakubali ila pinga ni sisi binadamu tumepanga iwe hivyo 🤔Siku ni mabadiliko ya vipimo vya muda ambao dunia inajizungusha mzunguko mmoja kwenye muhimili wake.
Huo muda unakadiriwa kufanana(saa24), hivyo saa24 zinakamilisha siku.
Au simply, jua likizama mpaka litakapozama tena inaunda siku. For convenience muda umepewa vipimo na majina.