Wanne wote wako 'ON'???? Ha ha ha, you are bad news to women.
Toa ya yule unayemfeel kiukweli
Hakuna exactly place, ila nilikuwa rafiki sana wa rafiki yake na siku ya kwanza alitambulishwa kwamgu pale mdegree, alikuwa ni mpole mnoo mpaka nikawa nawauliza rafiki zake how do you live with this man ila love came between na sasa wananiuliza how do you live with him? Nje ya upole wake, he makes me laugh all the time. I love him.
Ha ha ha ha, Eiyer bana
It was heaven on Earth, ndio nikagundua kuwa kumbe nachezea bahati eeh?! Mwanamme si pesa wala mali bana. Pesa na mali vinatafutwa ila mapenzi ni zawadi kutoka mbinguni lol. Unweza kuwa unahangaika kutafuta maembe kwenye mibono wakati mwembe uko pembeni unakushangaa.
Kwa kweli, zombie oyeee, na asipoleta utani, naweka mzigo ndani, sitakagi mchezo moyo ukifika bei. (iwafikie wambea wote, snowhite, watu8 na Nicas Mtei)
Kaizer habari yako........Heaven on Earth come again please?
siku nilochapwa viboko na mama kwa kuongea tu nae, nililia nkasema sitokaa tena niongee nae, si nkaja kusahau tukaendaaaa hadi tulipo vunja bi%k&&ra
Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Zombie alikuweza .....lol!!!!!
Sasa ile siku mmeahidiana "mbuzi" anaenda kuchinjwa ulilala kweli?????
nani alianza kumtokea mwenzie??
wa sasa sijui tumekutana Jf/twiter/tagged/Fb/wozap/......../..../.. Hata sikumbuki bhana. agrrrrrrrrrrLmao mkumbuke wa sasa basi
aliaza yeye, ila alipata tabu sana, anasema alikuwa akipanga mistari anaona bado haijanyooka cause mimi naongea sasa ikabidi awe anajiuliza na kujijibu kwanza kabla hajaja. Huwa nikimkumbusha hataki kabisa maana huwa tunacheka mpaka basi. Really ndio nikajua kumbe kutongoza ni kazi. Mmenikumbusha mbali na hii mada.