Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Nina gari Toyota Townace Van cc 1980 ikiwa na gia AUTOMATIC. Ni la mwaka 2005.
Sasa ina tatizo la kubadilisha gia.
Ukianza safari, inachelewa kubadili kuingiza gia namba mbili na gia zinazofuata.
Je inawezekana kurekebishwa?
Iwapo haiwezekani, nifanyeje?
 
Jamii forum hii site imekuwa msaada kwangu kutambua matatizo ya gari yangu. Ukweli n kuwa tuendelee kujifunza nmejifunza mengi kuna ushauri mmoja ulitolewa juu ya kuangalia oil ya gearbox gari ikiwa inawaka. Nilikuwa nikiangalia oil gari ikiwa imezimwa wakati wote oil ipo vizuri lakin baada ya kufuata ushauri kwa kuangalia gari ikiwa inawaka deepstic insignia empty na kutoa empty. Na inaalama ya cool na hot kwenye deepstick.
 
Back
Top Bottom