Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,725
- 12,381
Sawa, ni mpya au used?Milioni 1 kwa moja
Na injini ya Z30 unauzaje?
Sawa, ni mpya au used?Milioni 1 kwa moja
Bosch hadi milion 1.2Milioni 1 kwa moja
Hii hamnaMkuu hii hapa
Fuel pump ya Volkswagen polo 2005 View attachment 2259122View attachment 2259123View attachment 2259124View attachment 2259125
Hizi engine zipo za umeme na za kawaidaSawa, ni mpya au used?
Na injini ya Z30 unauzaje?
Hivi sina mkuuMkuu mm naulizia vile viraba flani vinavyoshika vioo vya pembeni (sijui vinaitwaje) vya gari Raum new model.
Mtafute fundi gearbox inaweza kua sio shida kubwaNina gari Toyota Townace Van cc 1980 ikiwa na gia AUTOMATIC. Ni la mwaka 2005.
Sasa ina tatizo la kubadilisha gia.
Ukianza safari, inachelewa kubadili kuingiza gia namba mbili na gia zinazofuata.
Je inawezekana kurekebishwa?
Iwapo haiwezekani, nifanyeje?
Kwanza hapo iangaliwe oil iko levelMtafute fundi gearbox inaweza kua sio shida kubwa
Asante sana kwa ushauri.Kwanza hapo iangaliwe oil iko level
Halafu ifunguliwe sampo isafishwe chekecheke
Asante sana.Mtafute fundi gearbox inaweza kua sio shida kubwa
Siyo 100,000.Asante sana kwa ushauri.
Oil ipo kilimo sahihi.
Tangu chekecheke imesafishwa haijatembea zaidi ya km.100,000.
Mcheki fundi, otherwise inabidi ufikirie kubadili gearboxSiyo 100,000.
Nilikusudia 100 [Mia].
Ndio mkuu vipo.Vifaa vya gari za tipa vinapatikana pia kama hino h07d?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app