Zeddicus Zu'l Zorander
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 797
- 929
Gearbox ya harrier 2WD unauzaje?Salaam ndugu zangu,kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.
Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako ukishapokea kwa wakala wetu ?
Spare yoyote ile kwetu inapatikana iwe body part kama bampa, taa n.k au hata engine , gearbox na spare nyenginezo.
Unaweza kuniPm oda yako au nitumie ujumbe kwa WhatsApp au text ya kawaida .
Namba yangu ya simu ni 0658124554View attachment 1072803View attachment 1072804View attachment 1072805View attachment 1072807
Sent using Jamii Forums mobile app
Gearbox ya harrier 2WD unauzaje?
Una I spare za Volvo XC90 ya 2008 na 2004Salaam ndugu zangu,kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.
Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako ukishapokea kwa wakala wetu ?
Spare yoyote ile kwetu inapatikana iwe body part kama bampa, taa n.k au hata engine , gearbox na spare nyenginezo.
Unaweza kuniPm oda yako au nitumie ujumbe kwa WhatsApp au text ya kawaida .
Namba yangu ya simu ni 0658124554View attachment 1072803View attachment 1072804View attachment 1072805View attachment 1072807
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu samahani, hio gari iko write-off nini?🤣🤣🤣NAHITAJI VITU VIFUATAVYO VYA VITS RS OLD MODEL
1.FRONT BUMPER
2.GRILL SHOW
3.HEAD LAMP
4.BONERT
5.A.C CONDENSER
6.RADIATOR
8.WINDSCREEN
9.ENGINE MOUNTAIN
10.GEAR BOX MOUNTAIN
11.BUMPER LAMP
12.FAN RADIATOR
13.WASHER TANK
NAOMBA BEI MKUU Master
K vant
MAIN FOLD YA 1NZ SH NGAP??? INZ IPO KWENYE TOYOTA VITZ RS
K vant
Cylinder kwa ajili ya kupump brake fluid ya toyota opa ni bei gani mkuu?
Kuna kitu kama pump iko nyuma chini ya kile kidumu (reservior) unachojaza mafuta ya breki ukifungua boneti ya gari lolote la toyota yenye hydraulic brake system utakaona kapo baada ya kikopo kinachobeba mafuta ya breki, kinaitwa cylinder kwa mujibu wa fundi.

Ndio kinafyonza mafuta ya breki toka kwenye kidumu na kusambaza kwenye pipe zinazoenda kwenye matairi.
Mie ndio nataka unipe bei ya hio pump au cylinder kwa ajili ya gari ya Opa.
Kwema mkuu,kama utaweza nitumie picha za rear differeantial uliyopo nayo kwa namba whatsap 0767111675,pia uko wapi?maana mie niko Geita.