Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Kiongozi,
Salaam ndugu zangu,kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.

Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako ukishapokea kwa wakala wetu ?

Spare yoyote ile kwetu inapatikana iwe body part kama bampa, taa n.k au hata engine , gearbox na spare nyenginezo.

Unaweza kuniPm oda yako au nitumie ujumbe kwa WhatsApp au text ya kawaida .

Namba yangu ya simu ni 0658124554View attachment 1072803View attachment 1072804View attachment 1072805View attachment 1072807

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi;
Nahitaji handbrake cable ya Suzuki 1.3 (swift ile ya zamani) ya upande wa kushoto
Nijulishe kama unayo na Bei.....
 
Engine na Gearbox yake,
1ZZ bei gani,
Na Mfano nikitaka nitoe Engine yangu na Gearbox ya 1AZ unitafutie mteja waweza pia?

Hizi hutumika kwenye Rav4, OPA etc
Rav4 kili time D4 1AZ, una swap ama. Kama unaswap u will need complete. Motor, gearbox, control box n wiring harness.
 
Kiongozi, nina prado 95, ina tatizo la kuyumba sana barabarani nikiwa spidi kuanzia 70 tu, nimebadilisha vitu vyote vya mbele, boljoint, tyrod nk, nimepiga wheel balancing/ alignment lakini bado tatizo lipo, je yaweza kuwa nini?

Mkuu kacheko vizuri spring zako especially kama ni coil spring. Nilishawah pata tatizo hilo nikajakukuta ni coil spring zilikua na shida
 
nshitaji rotor disk,rear drum,leaf spring set za hilux Ln106 ya mwaka 2003,kama una body ya nyuma nipe bei pia
 
Natafuta lock za milango ya nyuma Freelander 1 .

Motor ya kupandisha kioo freelander 1
 
Back
Top Bottom