Mkuu shokup za subaru forester naweza zipata kwa sh ngapi npe bei ya used na mpya
Mkuu shokup za subaru forester naweza zipata kwa sh ngapi npe bei ya used na mpya
engine yake TA-SG5 ni hizi zinafanana na kruger kabisa natafuta shock up za nyumaForest gani?
engine yake TA-SG5 ni hizi zinafanana na kruger kabisa natafuta shock up za nyuma
Nahitaji passenger right door handle for Nissan Pathfinder nijulishe kama unayo
Nahitaji complete steering rack ya Harrier MCU10W kama unayo unauza bei gani?Salaam ndugu zangu,kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.
Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako ukishapokea kwa wakala wetu ?
Spare yoyote ile kwetu inapatikana iwe body part kama bampa, taa n.k au hata engine , gearbox na spare nyenginezo.
Unaweza kuniPm oda yako au nitumie ujumbe kwa WhatsApp au text ya kawaida .
Namba yangu ya simu ni 0658124554View attachment 1072803View attachment 1072804View attachment 1072805View attachment 1072807
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba bei ya CV joint ya Passo, power window, site mirrow ya kulia sockup za nyuma
Nipe bei ya Steering rack ya Toyota Noah old model ya mwaka 2001
Pamoja naa deef
Naomba kufahamu bei ya injini ya landrover 300tdi au 200