Unahitaji kupendwa na mkeo?

Unahitaji kupendwa na mkeo?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,870
Chemsha mchaichai majani ya maboga oga siku tatu maji uvuguvugu tia chumvi mawe kijiko kimoja manuizi ya mvuto kupendwa kuthaminika.

Fanya mpaka saba, ogea njoo niambie.
 
Mambwataa hadi wanaumee siku hizi wanafanyaa? Kweli ndoa zimepatwaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom