Akikupa kazi namimi mnipe tafadhali..Unafanya nini JF muda huu kama mimi?
Tena unatoa wapi muda wa ku-type mtu ulie na kazi full time?
Until then you are just a sissy.
Una umri gani mkuu? Inaonekana wewe bado kijana mdogo na una deal na wanawake watoto sanaNone of the above. Wanawake wanataka mjegeje basi,kama humkuni vizuri hata kama unapesa kama elon ataliwa na bodaboda mtaani na atakuacha.
Vipo vingi. Vingine kuvielezea ni mtihani.Unahisi ipi ni hamasa kuu ya mwanamke katika mahusiano ya kimapenzi?