Unafuata nini kwa mwanaume unapoolewa?

Unafuata nini kwa mwanaume unapoolewa?

Unaelewa nini naposema kumsimamia ? Kijalizio maana yake ni mtu wa ziada ? Hii lugha chafu na ya kejeli na isiyo na uhalisia, sababu nafasi ya Mwanamke kwetu sisi ni kubwa mno, na sisi ni vazi kwao na wao ni mavazi kwetu.
Umezungumza kilekile nilichosema, kwa maneno mengine. Tatizo tu huwa unawaigi kujikurupusha kabla hakujakucha.
 
Mkuu
Watu wanaojihisi kwamba wao ni perfect. Kwamba wao ni 100/100 wanapata shida sana kuishi kwenye mahusiano hasa ya ndoa!
Maana yake hao si wakimilifu ndiyo maana shida zinawakuta katika ndoa bali wao ndiyo wanathibitisha ya kutokuwa wakamikifu zaidi.
 
Maana yake hao si wakimilifu ndiyo maana shida zinawakuta katika ndoa bali wao ndiyo wanathibitisha ya kutokuwa wakamikifu zaidi.
Marriage is a complementary endeavour. Do you understand what it means by "complementary"?

Ima tuseme ndoa ni ukamilisho wa mwanadamu, unafahamu maana ya ukamilisho?
 
Mkuu
Watu wanaojihisi kwamba wao ni perfect. Kwamba wao ni 100/100 wanapata shida sana kuishi kwenye mahusiano hasa ya ndoa!

Watu wanaojiona kwamba wao ni imperfect hawana tabu kuishi kwenye ndoa.

Ninachokuambia sio nadharia. Ni halisi! Ndiposa ni kawaida kusikia wapenzi kwenye penzi jipya "huficha makucha yao" hii makucha yao ni imperfection zao ambazo wanajua wakiziachia watakosa wamtakaye. Ila wakishafunga ndoa hufungua makucha yao.

Hivyo basi, mwanaume ama mwanamke akipata mtu ambaye ataweza kustahimili "makucha yake" hapo ndoa zitadumu. Perfect people cannot tolerate none sense. Imperfect people does!

Kama mpaka nukta hii hujanielewa, basi sina namna nyingine kukusaidia uelewe hoja yangu.

Nikutakie kila la heri.
Kutotolerate nonsense inapaswa kuwa sifa ya mtu yeyote mwenye akili timamu eikeiei smart person. Hii ni integrity anayotakiwa kuwa nayo kiumbe anayeitwa mwanadamu. There is a huge world of difference between intolerance of nonsense & mistakes vs handling them. Smart person hatolerate nonsense, lakini anazihendo wisely & intelligently.
 
I see!

Ulisikia kisa cha Rais Wetu wa awamu ya Tatu Mzee Mkapa, mkewe Bi Anna na Mh Basil Mramba?
A. Yes
B. No
If Yes, nini maoni yako in the context of human perfectionism and imperfectionism?
 
I see!

Ulisikia kisa cha Rais Wetu wa awamu ya Tatu Mzee Mkapa, mkewe Bi Anna na Mh Basil Mramba?
A. Yes
B. No
If Yes, nini maoni yako in the context of human perfectionism and imperfectionism?
Ukiweka context ya kisa husika ntaweza kustreamline my views
 
Kadri siku zinavyozidi yoyoma wazo la ndoa kwangu linazidi fifia kwa kasi vilevile! #C.R.E.A.M
 
Ndoa ni tendo la kiasili kwa baadhi ya wanyama na ndege ingawa wao hawaendi kanisani au misikitini. Njiwa wanaishi kwa couple na wanatengeneza familia. Simba, tembo, dolphins nyani, sokwe na wengine wengi uishi mke na mme na uanzisha familia ambazo watoto wanawajua baba na mama zao.

Tunafunga ndoa ili kuanzia familia na kuiendeleza katika misingi ya Pamoja ili wajifunze maadili na kuwa watu Bora katika Jamie

Legendary!!🤏
 
It is a prominent case. I suppose it was discussed in JF some few years ago. Take some trouble to search, then we'll pursue further discussion if still interested.
Hukujanielewa kabisa. Nahitaji dokezo la specific incident kwenye kisa inayoendana na maulizo yako.
 
2021 natafuta wa kuoa ili 2022 niharalishe zinaa niliskia senior bachelor akiongea hivyo.
 
Kutotolerate nonsense inapaswa kuwa sifa ya mtu yeyote mwenye akili timamu eikeiei smart person. Hii ni integrity anayotakiwa kuwa nayo kiumbe anayeitwa mwanadamu. There is a huge world of difference between intolerance of nonsense & mistakes vs handling them. Smart person hatolerate nonsense, lakini anazihendo wisely & intelligently.
You seem to have a nature mind. Kudos Brother
 
Mihasira-hasara yako kaipeleke huuuuko baharini aiseee! Kama ndiyo ndoa unaitafuta kwa staili hiyo, JUST FORGET ABOUT IT!!! Pole kwa kukosa pesa msimu huu wa Krismasi & Mwaka Mpya.
Umasikini wako usiniletee mimi hunijui,nipo kwenye ndoa kabla hujazaliwa na upunguze kimbelembele kurukia rukia watu hovyo.
 
Marriage is a complementary endeavour. Do you understand what it means by "complementary"?

Ima tuseme ndoa ni ukamilisho wa mwanadamu, unafahamu maana ya ukamilisho?
Kuhusu ndoa ni ukamilisho hili silijui, labda unipe maelezo na ithibati.

Ndoa ni mkataba wa makubaliano ya kimahusiano ya mapenzi(Kujamiiana) baina ya jinsia mbili kinzani,ya kuwa wataishi kwa wema na kama wakiachana basi wataachana kwa wema. Hii ndiyo maana ya Ndoa.

Lakini unajua ya kuwa wapo binadamu ambao kuoa kwao ni jambo la haramu ?
 
Back
Top Bottom