Unafuata nini kwa mwanaume unapoolewa?

Unafuata nini kwa mwanaume unapoolewa?

Mnaambiwaga hamsikiii

"UKIKUTANA NA M/KE AU MME MOYO WAKO UKASHTUKA NA KUANZA KUMPENDA KIASI CHA KUJIHISI DHAIFU BASI HUYO SIO SAHIHI KWAKO"...

ILA

" UKIKUTANA NA MWANAMMKE AU ME UKAHISI UNAMPENDA KWELI LKN HUNA HOFU YA KUMUONGELESHA WALA HUOGOPI KUMTONGOZA(HOFU HUNA/UNAJIHIS CALM STATE MIND), HUYO NDIO SAHIHI KWAKO NA USIMPUUZE KWANI HALF PART IF YOUR HAPPINESS LIES ON HER/HIM"

sio Mimi n Buddha na love mystery hyo
 
Taasisi inabidi iwe na kanuni bora ili iwe endelevu yenye tija, au siyo!???
Yeah.....shida nikwamba vijana wa kizazi hiki muda mwingi wanapokuwa kwenye uchumba huwa hawaplan chochote kwa kesho yao,wanaishia outing za kula na kunywa tu,sometimes outing mnaweza mkapeana changamoto na kufikia point ya kuwa na one goal.......sasa planning zinaanza wkt mmeoana,kale kaubishani ndiyo muda mmoja anaanza kuona hasikilizwi
 
Ndoa ni mpango wa Mungu, Mume na Mke kusaidiana wakijaliwa kupata Watoto wawalee kiimani na kielimu n.k. hivyo basi ndoa haimuhusu Mwanamke peke yake kila jinsia ina umuhimu wake, Mwanaume ndiyo wa kwanza kumfuata Mwanamke halafu Mwanamke anamfuata Mwanaume.
 
Ndoa ni tendo la ndoa(sex/kujamiiana).
Watu hata wakifungishwa ndoa na papa, au Ghulamaa au Khalifa mkuu kama mmoja viungo vyake havifanyi kazi hiyo ndoa ni batili.
Fanyeni , fanyeni, fanyeni kila siku , mtaishi kwa raha.
Kununuliana zawadi, kusaidiana kazi, kuuguzana , n.k ni njia tu za kuongeza mood ya kusex. Ikumbukwe mkitibuana sex haifanyiki na ikifanyika hainogi.
 
Hicho ulichoandika ni kitu cha ziada sana. Ndoa siyo kugonoka tu ndiyo maana utakuta mtu yupo Dar lkn anafanya kazi Dodoma. Mwanamke anahitaji ale, avae n.k mtoto wa watu alale njaa halafu mpande kiunoni uone kama atakupa mzigo.
Mbona sasa usipomgegeda wanasemaga kwani kwako nimefuata chakula...ata kwetu nilikuwa nakula....bwana wee cha muhimu kwenye ndoa ni kugegedana
 
Mnaambiwaga hamsikiii

"UKIKUTANA NA M/KE AU MME MOYO WAKO UKASHTUKA NA KUANZA KUMPENDA KIASI CHA KUJIHISI DHAIFU BASI HUYO SIO SAHIHI KWAKO"...

ILA

" UKIKUTANA NA MWANAMMKE AU ME UKAHISI UNAMPENDA KWELI LKN HUNA HOFU YA KUMUONGELESHA WALA HUOGOPI KUMTONGOZA(HOFU HUNA/UNAJIHIS CALM STATE MIND), HUYO NDIO SAHIHI KWAKO NA USIMPUUZE KWANI HALF PART IF YOUR HAPPINESS LIES ON HER/HIM"

sio Mimi n Buddha na love mystery hyo
Theory of feelings at its worst
 
Ndoa ni mpango wa Mungu, Mume na Mke kusaidiana wakijaliwa kupata Watoto wawalee kiimani na kielimu n.k. hivyo basi ndoa haimuhusu Mwanamke peke yake kila jinsia ina umuhimu wake, Mwanaume ndiyo wa kwanza kumfuata Mwanamke halafu Mwanamke anamfuata Mwanaume.
Yeah
 
Ndoa ni package!
Kuna Platinum, Gold, Silver, Wood, Feather etc kila Moja na uzito wake.

Nionavyo Mimi, ndoa ni kwa watu wasiokamilika (imperfect people). Ikiwa mtu anajihisi ni perfect person, aachane na ndoa aendelee na biashara zingine. Itamfaa!
Wakati mwingine tunaweza kujua uwezo binafsi wa mtu kupitia mchango wake(comment) ,mkuu wewe ni akili kubwa sana,,,bravo
 
For my side as a lady kitu kitakachonifanya niingie kwenye ndoa! Kwanza ni upendo yaani hakuna raha kama kuwa pamoja na mtu unayempenda/mnayependana akiwa mbali unahisi kama kuna kitu kinamiss hivi.bora kuishi pamoja tu, jukumu ni kuhakikisha huo upendo haupungui how! kila mtu kwa kutambua majukumu yake ktk hilo.

Pili: inatakiwa kuanzisha familia/uzao wako kama Mungu atawajalia watoto.uitwe mama na aitwe baba wa watoto ni raha pia. Mama/Baba fulani..😍

Tatu: Kupambanania uchumi wa familia kwa nguvu ya pamoja mfike mbali! Huwa nawaza siku nikiwa na mume tutapanga kufanya hili na lile ili kupata dough 😋 pekeako utaweza sawa ila vipi mkiunganisha nguvu pamoja haitokua zaidi?.

Nne, ni kuhalalisha mambo! mtakua mnazini hadi lini maana kushiriki tendo bila ndoa ni uzinzi na ni dhambi so tumeagizwa kila mtu awe mke/mume wake ili kuepusha tamaa na uzinifu.
 
Nionavyo Mimi, ndoa ni kwa watu wasiokamilika (imperfect people). Ikiwa mtu anajihisi ni perfect person, aachane na ndoa aendelee na biashara zingine. Itamfaa!

Absolutely,yani najiona Mimi hapa
 
Hivi kuna "Tendo la Ndoa" zaidi ya lile moja??.

-Utajiri/Mali hazijawai kuwa Tendo la Ndoa

-Kula na kuvaa havijawai kuwa Tendo la Ndoa

-Furaha/Huzuni havijawai kuwa Tendo la Ndoa

Sasa sababu ya ndoa ni kupata Tendo la Ndoa, nadhani wote tunalijua!!
 
Back
Top Bottom