uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,703
- 37,932
Wapi nimekataza mtu kuolewa..Hebu ficha upumbafu wako...
Ukimwambia mtu ukweli hasira is obvious so naelewa
Wapi nimekataza mtu kuolewa..Hebu ficha upumbafu wako...
J = Just & Justice. Awe na uwezo wa kusimamia haki na usawa katika familia. Abalansi home duties, private duties, office work na zile za jamii na jamaa na ndugu.Naam
Jumla ni sifa 26 yaani A to Z.
Let them flow![]()
Ndoa ni package!
Kuna Platinum, Gold, Silver, Wood, Feather etc kila Moja na uzito wake.
Nionavyo Mimi, ndoa ni kwa watu wasiokamilika (imperfect people). Ikiwa mtu anajihisi ni perfect person, aachane na ndoa aendelee na biashara zingine. Itamfaa!
Ukijihisi umekamilika ujue umefikia kiwango cha hali ya juu kutokamilika, maana yake hata kuchunga Mbuzi huwezi.Uzi Closed!
Nakazia hapo.
Hakuna mtu aliye kamilika, na ukijiona umekamilika ujue wewe si mkamilifu kabisa. Tena hufai hata kujisimamia mwenyewe.
Utakuwa hujui maana ya ukamilifu, hakuna mkamilifu tangu dunia imeumbwa mpaka inafikia tamati.100%
Bila shaka ushakutana na perfect people. Utasikia "Yule sio type yangu". Of course watu mpaka wawe na choices na preferences. Hilo la mtu kujua asichotaka na asijue anachotaka ni haiba ya "wakamilifu" -perfectionist-. Hii ni hatari!
But this doesn't mean you shouldn't have your cliteria for someone unayetaka kupatna naye maisha yenu. Mbali na sifa za kitabia, kuna temperaments. Mm ni miongoni mwa wachache waaminio kwamba any man anaweza kumerge na any lady provided wako sane kiakili na wana basic harmonity katika masuala ya kiimani.Ukijihisi umekamilika ujue umefikia kiwango cha hali ya juu kutokamilika, maana yake hata kuchunga Mbuzi huwezi.
Vijana huwa mnajipa moyo sana kwenye hakuna. Mpaka huwa najiuliza kwanini mmeamua kufurahisha nafsi zenu na kujidanganya kwa wazi zaidi.
Off argument mpaka nimeogopa. Utakuwa hujanisoma vizuri.Utakuwa hujui maana ya ukamilifu, hakuna mkamilifu tangu dunia imeumbwa mpaka inafikia tamati.
Sisi Wanaume tukiwaambia tunaoa ujue tunaenda kunsimamia kiumbe ambaye ni binidamu na ni Mwanamke pia, kiumbe mwenye akili zake, maamuzi yake, sasa ukiweza kumsimamia Mwanamke ujue utaweza kuyasimamia mambo mengine yote kwa uzuri.
Sasa mnapo jifariji juu ya mkamilifu aisee mnajidanganya kweupe, wanao kimbia ndoa bila sababu za msingi hao wana matatizo ya akili.
Preferences & choices & cliteria ni normal sana. Kuna mtu anaweza kuwa na vigezo vizuri tu lakini bado asiwe type yako. Perfectionist ni asiyetaka kufanya kompromaiz hata kwenye mambo yanayoweza kurekebishika baadaye. We should never forget that everybody is subject to constant improvement. And, I tend to believe, wale wanaojiona wamekamilika kwa kiasi fulani, au to put it more gently, waliostaarabika, wanapaswa ndio wawakwae wale wanaodhani ni less fortunate ili rutuba yao ya ustaarabu iwaimarishe wale.100%
Bila shaka ushakutana na perfect people. Utasikia "Yule sio type yangu". Of course watu mpaka wawe na choices na preferences. Hilo la mtu kujua asichotaka na asijue anachotaka ni haiba ya "wakamilifu" -perfectionist-. Hii ni hatari!
I concur.Preferences & choices & cliteria ni normal sana. Kuna mtu anaweza kuwa na vigezo vizuri tu lakini bado asiwe type yako.
Anatafuta SITARA Bila ya kuwa na mume mwanamke hata hishma yake inapungua na anakuwa haaminiwi na vile vile mwanamme so hawa ni viumbe vinahitajiana na zaidi kuwa na family hiyo ndio nature yetu ,hayo mambo mengine ni matahabash tu ktk maisha la muhimu ni mwanamme aweze kumudu nyumba yake na sio omba omba .Je mwanamke anapo olewa..Anachofuata Ni Mali za mwanaume Yaaani Magari, magorofa na mfanowe?
Je anafuata urafiki, uhusiano, Mapenzi ya dhati, kufanya Mapenzi, Utulivu wa nafsi au Heshima?
Je ukipewa Hizo pesa na magari na majumba..ukawa tajiri alafu mwanaume akawa anaonekana kwa nadra Sana utakuwa na furaha?
Je furaha ya kweli katika Mapenzi / ndoa Ni pesa?
Kuna usemi nausikiaga... When poverty enters the door love flies out of the window.
Tell me guys...what makes a happy marriage... Is it money or is it the man?
I like to think I need a man first, his presence is Vital then other factors can be considered.
What do you guys think?
N.B Hiyo English Tia maji Tia maji nilifundishwa na mwalimu wangu Ticha** Shamim... Mlosoma kayumba msianze maneno yenu.
Ukiwa unasaka high quality preferences lazima uwe mvumilivu kidogo, na ndivyo inavyotakiwa. Si unajua hata dhahabu pure haipatikanagi this-this (hivi hivi)!!???I concur.
Shida ni maji yakizidi unga. I mean vigezo na masharti yakiwa Makali kiasi kwamba kupata sample size inakuwa mtihani! Data utapata wapi ku-compare, contrast na ku-discuss results kabla hujakata shauri wapi utulie?
Unaona eeh!
Sijatoka nje ya nje, na hapo juu niligusia ya kuwa utakuwa hujui maana ya "Ukamilifu/Kamili". Mfano wa Mwanamke nilio utoa ni mfano mahususi ya majibu yako kwetu sisi ambao unaona hatuko kamili huku ukitutenga na wale ambao unao a wakijihi kamili. Kisha ukaelekezea kwa mtu atakae jiona kamili basi afanye biashara nyingine zitamfaa, nikakumbusha ya kuwa sisi tunao enda kuoa tunaenda kumsimamia mtu, mtu ambaye ukiweza kumsimamia basi utaweza kusimamia mambo mengine yote.Off argument mpaka nimeogopa. Utakuwa hujanisoma vizuri.
Pitia post zangu kwenye huu Uzi, ukimaliza rudi hapa tuendelee kuchangamsha chamvi!
Sidhani kama lugha hiyo ya "kumsimamia mwanamke" iko accurate. Siku mwanaume akijifunza kwamba mwanamke ni kijalizo (complement au supplement) wake, base ndoa zitakuwa zenye upendo na zitakuwa zinadumu hadi pale mauti itakapowatenganisha.Sijatoka nje ya nje,na hapo juu niligusia ya kuwa utakuwa hujui maana ya "Ukamilifu/Kamili". Mfano wa Mwanamke nilio utoa ni mfano mahususi ya majibu yako kwetu sisi ambao unaona hatuko kamili huku ukitutenga na wale ambao unao a wakijihi kamili. Kisha ukaelekezea kwa mtu atakae jiona kamili basi afanye biashara nyingine zitamfaa, nikakumbusha ya kuwa sisi tunao enda kuoa tunaenda kumsimamia mtu, mtu ambaye ukiweza kumsimamia basi utaweza kusimamia mambo mengine yote.
Sasa unaposema nipo nje ya hoja bila kuonyesha ni wapi na kwa lipi, hui ni udhaifu wako wa kutokuwa makini.
MkuuSijatoka nje ya nje,na hapo juu niligusia ya kuwa utakuwa hujui maana ya "Ukamilifu/Kamili". Mfano wa Mwanamke nilio utoa ni mfano mahususi ya majibu yako kwetu sisi ambao unaona hatuko kamili huku ukitutenga na wale ambao unao a wakijihi kamili. Kisha ukaelekezea kwa mtu atakae jiona kamili basi afanye biashara nyingine zitamfaa, nikakumbusha ya kuwa sisi tunao enda kuoa tunaenda kumsimamia mtu, mtu ambaye ukiweza kumsimamia basi utaweza kusimamia mambo mengine yote.
Sasa unaposema nipo nje ya hoja bila kuonyesha ni wapi na kwa lipi, hui ni udhaifu wako wa kutokuwa makini.
Unaelewa nini naposema kumsimamia ? Kijalizio maana yake ni mtu wa ziada ? Hii lugha chafu na ya kejeli na isiyo na uhalisia, sababu nafasi ya Mwanamke kwetu sisi ni kubwa mno, na sisi ni vazi kwao na wao ni mavazi kwetu.Sidhani kama lugha hiyo ya "kumsimamia mwanamke" iko accurate. Siku mwanaume akijifunza kwamba mwanamke ni kijalizo (complement au supplement) wake, base ndoa zitakuwa zenye upendo na zitakuwa zinadumu hadi pale mauti itakapowatenganisha.
Huo mstari wa mwisho ndio sijauelewa kabisaaa. But, ndoa ni picha ndogo ya uhusiano wetu na Mungu. Ukivurugana kwenye ndoa, likelihood ni kubwa kuvurunda kwa upande wa uhusiano wako na Mungu.Kwa nn ndoa ?
Watu hufuata ñn ndani ya ndoa ??
MAJIBU;
Ndoa n mpango wa MUNGU
Nn mtu hufuata, n yy binafsi