Foundation ya social life ya mwanadamu imejengwa kwenye TRANSACTION mchezo wa NIPE NIKUPE,iwe urafiki wa kawaida ama muungano wa ndoa,urafiki successful ni ule ambao hakuna yeyote anayefeel kuwa burdened na huo urafiki/umoja,the same applies kwenye ndoa, iwe financial matters,emotional issues ,biological issues, psychological issues,kila mtu ahakikishe anajitoa kwa kadri awezavyo bila kuhisi anakuwa exploited,pakishaanza kuwepo na sense ya exploitation,either financial au biological hapo Friction lazima iwepo,ile mtu kuhisi unafunjwa kibiologia,au unafujwa kipesa,hii feeling hua ipo KWA binadamu,huwa tunatabia ya kuhisi tunastahili kuliko uhalisia uliopo,deep down kila mmoja ni defensive,anadefend vya kwake,anadefend uhai wake,huo ndio uhalisi
Yote KWA yote peace ni STATE ya mind,muhusika mkuu wa kuregulate state ya mind ni mwenye mind,marriage iko na mind. Mbili,kila mind ina DO's zake na DONT's zake
Kazi kubwa ni kuzimerge hizi Do na DONT's za mind mbili kufika muafaka na kukubali madhaifu ya kila mmoja na kucelerebrate strength zenu pamoja,sio kazi rahisi ni kazi ngumu ambayo inaweza chukua maisha yako yote kurealize nini unatakiwa kufanya,bahati mbaya Sana wisdom inakuja uzeeni wakati physicality imeshakuwa dhaifu,Arrogance ya ujana ina changamoto zake
Maisha ni KUSHARE sio KUDEMAND na KUEXPLOIT